Dah... pole sana!Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Naombeni msaada na ushauri
Mimi najua around dk 5 and go on...Sekunde kumi mbona ni nyingi tu!
Hivi ninyi mnajua nyingi ni kuanzia ngapi kweli!
Hayo inasemwa tu na watu. Hebu kila mtu alombe kwa muda anaotaka bhana!Mimi najua around dk 5 and go on...
Hahahahaaa wewe unatumia mda gani¡ kwaniHayo inasemwa tu na watu. Hebu kila mtu alombe kwa muda anaotaka bhana!
Inategemea! 😎Hahahahaaa wewe unatumia mda gani¡ kwani
Nini....?Inategemea!
Nikiamua namwaga baada ya dakika 30 au dakika mbili tu kutegemea na matakwa yangu.Nini....?
Sawa mkuu!Nikiamua namwaga baada ya dakika 30 au dakika mbili tu kutegemea na matakwa yangu.
Inatia mimba lkn mwenza hafurahii anafikaje kileleni kwa sekunde hizo mwisho atampa kishawishi cha kumaliza sehemu nyingine hii ni hatari kwa uaminifuUsijali.! Sekunde 10 nayo inatia mimba
Demu mpya huyu alafu tupo kishkaji sanaKo anajua kama wewe ni limalaya maana haujafanya na yeye ila ukamwambia umefanya sana..
Mara ya mwisho nilijichua ambapo ni kama siku moja kabla ya hio siku ya mechiKwani alokwambia kwamba ukikaa muda mrefu haujafanya siku ukifanya unadumu muda mrefu kwenye tendo ni nani?
Kwanza kabla ya tendo au makubaliano/maewlewano usiiwazie sana.Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo siku ndio mana nipo hivyo.
Naombeni msaada na ushauri