Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Kuna vitu vingine ni kama ulemavu hata utumie nini utabaki vile vile, ndio kama huyu mtoa mada aendelee kubet tu mambo ya mapenzi aweke kando.
Hivyo vitu ulivyomshauri vyote amefanya

Kafanya vipimo? Kaambiwa tatizo ni nini?
 
Hongera mkuu kwa matumizi bora ya muda.
 
Nenda jogging acha blah blah lakini inapendeza hupaswi kuzidisha dk 2
 
A
Anza kutembea hatua elfu sita kwa siku, squats 100+,push ups 100,lunges 100,pull ups 30, kula sana mayaai ya kienyeji,nyama,samaki,nazi,parachichi,tumia beef talllow au nazi kupikia,lala masaa7+ usiku,kaa miezi kadhaa bila kushiriki tendo...
Ukizngatia vizuri hayo utakaa sawa kabisa kazi kwako
 
Ombea tu isitokee siku ukatumia sekunde moja kama jogoo. Itakuwa ni hatari kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…