Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Aliambiwa hormones testosterone zipo chini,kwa madai yake alitumia dawa pamoja na kuzingatia vyakula lakini mambo bado.leo ameleta thread nyingne

Kumbe! That's unfortunate.

Mbona dawa za kuongeza Test zipo nyingi tu. I'd like to know test levels zake zilikua ngapi na baada ya kutumia dawa zilifikia ngapi? Cha msingi awaone wataalam kadhaa kupata different opinions.
 
unless pesa ni tatizo kwako ila hilo tatizo ni dogo sana
 
Kumbe! That's unfortunate.

Mbona dawa za kuongeza Test zipo nyingi tu. I'd like to know test levels zake zilikua ngapi na baada ya kutumia dawa zilifikia ngapi? Cha msingi awaone wataalam kadhaa kupata different opinions.
testosterone level yake ilikuwa 0.67 nmol/L, itakuwa alienda kupima dispensary wamemuongopea wamekula pesa yake wamempa majibu hayo,hata kusoma majibu hawajamsomea amekuja kuuliza jamii forum.
Nafikiri hana shida hiyo hofu ndio imetawala akilini mwake,mtu mwenyewe bado kijana ana miaka 23.
 
Tafuta hii kwenye maduka ya madawa makubwa au Malls shopper kubwa tumia itakupa matokeo mazuri
 

Attachments

  • Screenshot 2026-08-21 101410.png
    209.2 KB · Views: 7
Hizo sekunde ndizo sekunde za mwanaume rijali, anyway njoo pm nikuuzie vumbi la Congo, kama upo Dar ntakupa kidogo ya majaribio, kama upo nje ya Dar itabidi ununue tuu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…