Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Kwa hiyo mkuu ilisinyaa sana kiasi kwamba ukawa unashindwa hata kuisokomeza kwa mkono kama utambi wa kibatali huenda ingesimamia humo humo....ila shukuru Mungu maana Mimi hapa Bado najitibu gono hapa Kuna manzi juzi kaniambukia
 
Shida ya kwanza uliingia kwenye mechi na hofu, pili kuna aina ya kucheza mechi usimwage haraka na uume usisinyae haraka inabidi upate shule hapa
 

This. Wengi ni mental health issue more than anything.
 
Hapana hio hospitali inaaminika sana na ndio maana nikaenda moja kwa moja huko na hicho kipimo nimepewa kwenye hospitali mbili tofauti
 
Kwa huo muda ni kwaajili ya watu wenye ukame wa muda mrefu. Jinsi unavyozidi kuwa mzinzi ndivyo hisia hupungua na kudumu muda mrefu kunaongezeka.....
 
Hivyo vyakula umemtajia inategemea na mfuko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…