Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

Kwani alokwambia kwamba ukikaa muda mrefu haujafanya siku ukifanya unadumu muda mrefu kwenye tendo ni nani?
 
Size ndogo inchi ngapi dogo?

Minimum kwa mwanaume ikisimama angalau ianzie inch 5, chini ya hapo huo ni ulemavu
 
Dah... pole sana!
 
Nilijua humwagi kabisa kumbe unamwaga basi hakuna shida...ukitaka mtoto utapata
 
Ko anajua kama wewe ni limalaya maana haujafanya na yeye ila ukamwambia umefanya sana..
 
Kwanza kabla ya tendo au makubaliano/maewlewano usiiwazie sana.
Jitahidi usiangalie exe kwenye cm kabla ya shughuli,na kabla ya shughuli halikisha huna mawazo au umekula ukashiba kabisa.
Na wakati upo nae ndani kabla hujamvua hata nguo usiipanie kabisa ione ya kawaida.
Wewe nguvu unazo sema unaipania kabla hamjakutana ndio maana akishavua/kuichapa unawahi kukinai
Nje ya mada.jitahidi kutafuna vitunguu swaumu saanq maji kabla tendo.yaani tafuna sana siku 2 nyuma kabla ya tendo.
Utakuja nishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…