Nami nimeshangaa hapo nikakosa cha kuandika,akienda kutoa anapata elfu tisa na chenji, ila dah bora kiaina kamkumbuka bimdangaMama unamtumia 10000?
Huwezi kuamini mshahara ujao atafanya matumuzi ya hovyo zaidi ya haya.Jifunze sasa kumtunza Mama yako na ndugu zako! Mshahara ujao nusu watumie
[emoji1787][emoji1787]Basi Watumie hio 90k
Akiwatumia zote yeye atakula niniBasi Watumie hio 90k
kama umeshindwa kuacha siku ukipata mshahara unameza dawaza tumbo ili usiweze kunywa coz ukinywaa ndo ntoleee: Nb: Don't try this at home
Hii kitu alcohol ilinimalizia pesa hatar.ila baada ya kupumzika three months now.najiona tajiri alafu mwepesi na jasho halivuji sana .Aya mapepo ni hatar aiseeSi bora ww elfu 90 tu!!!mimi weekend iliyopita jmosi mpaka jtatu nimepiga mahesabu nimetumia laki 3 kwenye mambo ya kipumbavu hasa pombe na kuacha nimeshindwa acha.
Nami nimeshangaa hapo nikakosa cha kuandika,akienda kutoa anapata elfu tisa na chenji, ila dah bora kiaina kamkumbuka bimdanga
Nadhani hii si size yako280,000/= ni mshahara au per diem?
Hii kitu alcohol ilinimalizia pesa hatar.ila baada ya kupumzika three months now.najiona tajiri alafu mwepesi na jasho halivuji sana .Aya mapepo ni hatar aisee
Nawaza @kidukulilo akipita kwenye huu uzi.
Mkuu manengelo nina shida sana na wewe, vp nakupata kwa njia gani?Hajahaja acha kusingizia pombe n vitu vya kipumbavu ww
Hahah kuingia ni rahisi ila kutoka sasa ni shughuli.Hii kitu alcohol ilinimalizia pesa hatar.ila baada ya kupumzika three months now.najiona tajiri alafu mwepesi na jasho halivuji sana .Aya mapepo ni hatar aisee
Pole sana. Jaribu kujizuia.Si bora ww elfu 90 tu!!!mimi weekend iliyopita jmosi mpaka jtatu nimepiga mahesabu nimetumia laki 3 kwenye mambo ya kipumbavu hasa pombe na kuacha nimeshindwa acha.
ndugu zangu kma nilivyosema ni wanfunzi na wengi ni wakike, mzee alishafariki mama anaishi kijijini kibingwa bingwa ivyo ivyo. ni mengi nikisema nileleze mkuuHebu tuanze na hao ndugu zako:-
Ni watoto wadogo?
Ni wakubwa lakini ni wanafunzi na kwahiyo hawawezi kufanya shughuli ya ziada,
Ni wakubwa lakini wana ulemavu au magonjwa ya kudumu yanayowafanya washindwe kufanya kazi, au
Ndo ile midume na mijike ambayo unaikuta ina mikono miwili, miguu miwili, macho safi kabisa, hata ukucha haujang'oka, lakini ipo ipo tu inasubiri Bi Mkubwa afanye mambo, na yenyewe ikakae mezani?!
Sema dah, sijui kwanini nimejisikia uchungu sana ulivyoipigia bajeti hiyo 280K!! Yaani 280K bado kuna wengine wanakutegemea hapo hapo. Afrika tuna safari ndefu sana!
Ila unajua nini?! Kama huo ndo mshahara wako wa kwanza, poa tu... lazima uonje japo kidogo kile wanacho-enjoy vijana wenzako! Nakumbuka kazi yangu ya kwanza nilifululiza vyuku vya kienyeji mwezi mzima... asubuhi hadi jioni hadi ikafikia wakati nikimuona kuku tu anatembea, nikawa najisikia kama anataka kukimbilia tumboni jinsi ambavyo walinikifu!!!
Kwanini nisifululize vyuku wakati mkataba ulikuwa unahusisha posho ya Sh 55K kwa siku kwa miezi 2?!