Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

Pole sana ndugu, ila jipe Moyo. Hujatumia pesa vby ht, nikikwambia Mimi siku 2 wiki hii, juma3 na juma4 nilidraw milioni 3 benki na zote zimeisha japo sio mby home niliwatumia M
hongera mkuu hope na mimi nitakuja kuushika hizo hela
 
Pole sana ndugu, ila jipe Moyo. Hujatumia pesa vby ht, nikikwambia Mimi siku 2 wiki hii, juma3 na juma4 nilidraw milioni 3 benki na zote zimeisha japo sio mby home niliwatumia M
Mtu unaweza kudhani unaspend vibaya kumbe ww una afadhali.
 
nimetuma 12 elf mabayo akitoa atapata 10, wa elfu kumi na tano nimetuma 17. ni kweli ni hela hiyo kutokana na bajeti nilioweka, sasa kilichotokea ndo kinanihuzunisha bora ningemtumia mama ata 30 au hamsini kisha nilala tu geto

Hiyo elfukumi ananunua nini?
 
kama umeshindwa kuacha siku ukipata mshahara unameza dawaza tumbo ili usiweze kunywa coz ukinywaa ndo ntoleee: Nb: Don't try this at home
We nadhani hujawa mnywaji mzuri wa bear,ukiwa mnywaji mzuri hata dozi unakatiza uweke vyombo mwilini kwanza.
 
Hii kitu alcohol ilinimalizia pesa hatar.ila baada ya kupumzika three months now.najiona tajiri alafu mwepesi na jasho halivuji sana .Aya mapepo ni hatar aisee
Mm mpaka nahisi kuna ka mkono ka mtu nn!!!?maana nikitumia hela vibaya najiapiza nasema sinywi tena ila ifike sasa hiyo weekend ndo utajua nguvu ya pombe iko wapi!!!lazima ukashhtue na kujikuta umerudia makosa Yale yale
 
Ulivyojutia inatosha. Ili mradi umejua ni tatizo ulilofanya na umejutia sana,unatosha songa mbele. Tayari trip ijayo utaweka saw
 
Back
Top Bottom