mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ndani ya siku nne nimetumia laki 8.hivi hizi hela zina majini?
Yaani Katika Laki 1 ukitoa tu elfu 10 ujue laki imeisha
Yaani Katika Laki 1 ukitoa tu elfu 10 ujue laki imeisha
Usisahau kumtumia akatengeneze simu na pia yule wa viatu[emoji31][emoji31][emoji31] hizi badget ni balaa mi saivi nmebakiza laki 2 nataka ya kuanzia tar 01 mpaka tar 20, yaani elfu 10 kwa siku, ila sasa inatokea siku inatumika hadi elfu 30, mwishowe mshahara ukikarbia nakopa
Chukua salary advance crdb umtumie demu[emoji31][emoji31][emoji31] hizi badget ni balaa mi saivi nmebakiza laki 2 nataka ya kuanzia tar 01 mpaka tar 20, yaani elfu 10 kwa siku, ila sasa inatokea siku inatumika hadi elfu 30, mwishowe mshahara ukikarbia nakopa
Pole sana ndugu, ila jipe Moyo. Hujatumia pesa vby ht, nikikwambia Mimi siku 2 wiki hii, juma3 na juma4 nilidraw milioni 3 benki na zote zimeisha japo sio mby home niliwatumia M
Sidhani kama ana kiwango hiko cha mshahara yawezekana amepunguza sifuri moja nyumaKuna vitu ukisoma unamshukuru Mungu kwa hata kidogo ulicho nacho.
Usijisikie vibaya sana mkuu, mshahara ujao jitahidi usitumie vibaya.
Hahahha [emoji23][emoji23], waswahili mna maneno sana.Kweli maisha magumu jamani tuache utani msione kama hiyo salary ya jamaa ni ndogo
Mi mwenyewe Jana usiku nimeacha kiporo changu mezani, leo asubuhi nimeamka kukicheki nakuta hakipo kumbe kala jeremiah
Sema wafanyakazi wa bongo wanateseka sana ! yaani huyu kula elfu 90 tu kawehuka !....Mkuu, Dah! Mama ni wa kumpa shs Alfu Kumi tu??
Umeshindwa kumpiga na ka twenty ama ka thirty kweli?
Ndio maana zimeisha ovyo...!
Per diem'je wakati kima cha chini cha mshahara kinajulikana na hakijaongezwa?280,000/= ni mshahara au per diem?
Suala la 'atakula nini' halijadiliki. Je alivyotumia karibia zote kwa anasa, je atakula nini?Akiwatumia zote yeye atakula nini
Kwanini unafikiri adanganye? Mwalimu, Askali n.k anaye anza kazi unadhani mshahara wake ni kiasi gani? Kuna watu mishahara yao ina mikopo LUKUKI, ikifika mwisho wa mwezi wanapokea chini ya huo mshahara wa mtoa mada.Sidhani kama ana kiwango hiko cha mshahara yawezekana amepunguza sifuri moja nyuma
Hahaahaa...Ndani ya siku nne nimetumia laki 8.hivi hizi hela zina majini?
Yaani Katika Laki 1 ukitoa tu elfu 10 ujue laki imeisha
Ndio maisha ya jf haya..unaweza kua tajiri bila gharama yoyote.Hivi mnamchukulia serious yule dogo!?yule sidhani hata kama anajua nn maana ya maisha,me naonaga anajifariji tu ni mtu aliyepigika yuko anajifariji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umehonga demu au umenunua wanaosimama barabarani nini? mbona unaficha ficha
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Halafu maskini huwa wanajitutumua sana.. Elf 90 kwa siku?? Utakula ulikopeleka mboga..
Chukua salary advance crdb umtumie demu