Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

Ndani ya siku nne nimetumia laki 8.hivi hizi hela zina majini?
Yaani Katika Laki 1 ukitoa tu elfu 10 ujue laki imeisha
Unatumia kilevi!!?kama unatumia usishangae hizo hela zimeishaje,pombe ni jini mnyonya hela
 
Tusidanganysne hapa, kwan niyeye tu anayepata 280000. Kunawatu wapokimya na hizo hawaingiz kwa mwez. Sema kujimwambafy kwa jf utadhan kila mmoja ni Boss flan, maisha magumu
 
[emoji31][emoji31][emoji31] hizi badget ni balaa mi saivi nmebakiza laki 2 nataka ya kuanzia tar 01 mpaka tar 20, yaani elfu 10 kwa siku, ila sasa inatokea siku inatumika hadi elfu 30, mwishowe mshahara ukikarbia nakopa

bandariii[emoji23][emoji23]
 
hapana.
Nilikuwa nimejiwekea kwenye kibubu.
Nilizikusanya kama miezi miwili hivi.
Sasa kuna jumapili moja nilipigika mbaaya
Nikasema isiwe tabu kibubu changu kipo wapi,msumeno upo wapi.
Nikakikata.
Nilipata Laki 820.
Bwanaa wee.
Mpaka jioni yake nimebakiwa na Laki 6.
Kesho Yake jioni Nina Laki 4.
Ndani ya Siku nne kwishaaaa.
Unatumia kilevi!!?kama unatumia usishangae hizo hela zimeishaje,pombe ni jini mnyonya hela
 
Kwa 280,000 fanya juu chini Mama umtumie pesa isiyopungua 30,000. Narudia Mkuu isiyopungua 30,000. Na hakikisha unabaki na akiba isiyopungua 50,000. Kwa maana ya kwamba fanya fujo zako zote usitumie zaidi ya Laki Mbili kwa mwezi...
 
Na hapo io 90 utaimaliza yote kabla ya tarehe 10.11.2019 na utakopa na ukichukua Salary 280 utarudisha deni na baada ya apo hutomkumbuka mama Wala mdogo wako......Natabiri😊
 
Wapo watu wanapokea hizo kweli. Nimeumia kama kweli ni kiwango chake lakini ndo maisha
Sidhani kama ana kiwango hiko cha mshahara yawezekana amepunguza sifuri moja nyuma
 
Kama mazuri vile, hata mimi hayo yananikuta sana, naweza kuwa mzuri sana kwenye matumizi kuanzia j3 mpaka alhamis, ila gepu la ijumaa mpaka jumatatu nakuwa nimetumia mara nne ya pesa ya kuanzia j3 to Alhamis. Pombe mbaya sana sema kuiacha ni mtahani mwingine tena
Si bora ww elfu 90 tu!!!mimi weekend iliyopita jmosi mpaka jtatu nimepiga mahesabu nimetumia laki 3 kwenye mambo ya kipumbavu hasa pombe na kuacha nimeshindwa acha.
 
Mkuu kumbe mimi kuvuja jasho inasababishwa na mtungi? Nilikiwa sijui kwa kweli
Hii kitu alcohol ilinimalizia pesa hatar.ila baada ya kupumzika three months now.najiona tajiri alafu mwepesi na jasho halivuji sana .Aya mapepo ni hatar aisee
 
Pombe ni ya kishenzi kama pombe
Mm mpaka nahisi kuna ka mkono ka mtu nn!!!?maana nikitumia hela vibaya najiapiza nasema sinywi tena ila ifike sasa hiyo weekend ndo utajua nguvu ya pombe iko wapi!!!lazima ukashhtue na kujikuta umerudia makosa Yale yale
 
Back
Top Bottom