Muulize To yeyeOooho io ni uongooo
Ungekua unachuja kisingetokea.Na kama nachuja kila ckuu
AftatuDaaah hospitali wanafanya shingapi
Usijiminye, nenda hospitali ndugu. Pole.Nimejiminyaaaa sanaaa na bado hali mbayaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh, kumbe na wajukuu wetu mmo humu? Halafu mnatutukana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kachungulie choo cha shimo kisha piga ukunga.