Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

😂😂😂...lazima tufike huko maana macho yanaona.Futa picha hiyo weka ya jicho tu, mwili wako umekosa vitamini au uwe unachanganya na glycerin hayo Mafuta yako ili ngoz iwe laini kidogo
Umetamani?
 
Back
Top Bottom