Nimetumia karafuu kutoa kijipu lakini haijanisaidia, nisaidieni njia nyingine🙏

😂😂😂...lazima tufike huko maana macho yanaona.Futa picha hiyo weka ya jicho tu, mwili wako umekosa vitamini au uwe unachanganya na glycerin hayo Mafuta yako ili ngoz iwe laini kidogo
😂😂😀😀 Umejuaj kuwa hauna vitamin sasa ee
 
Niwe mlain kwan mm wa kikee
😂😂😂...lazima tufike huko maana macho yanaona.Futa picha hiyo weka ya jicho tu, mwili wako umekosa vitamini au uwe unachanganya na glycerin hayo Mafuta yako ili ngoz iwe laini kidogo

Au achekee kwenye kinu..hawa vijana wata sema ni iman za ajabu . wana sahau u Africa
Napata wapi kinuuu
 
Back
Top Bottom