Nimetumia mbao mwanzo mwisho..kila anayepita analishangaa banda hili...

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715


Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao hawajui kuwa nilijipanga kwa mda mrefu sana,niamini mtu ukitaka kufanya chako usiangalie watu watasemaje,hili nimemjengea dogo afanye shughuli zake za ufundi simu.

Nawasilisha ndugu zangu...
 
bhangi mbaya sana👉😂😂.
Kibanda icho ndo watu Wanasema kuwa una pesa ...Punguza ulezi na hilo eneo Kuna umaskini sana ndo maana wanakuonea here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…