Nimetumia mbao mwanzo mwisho..kila anayepita analishangaa banda hili...

Matajiri wanakawaida ya kuchanganyikiwa kidogo. Broh unanyota ya utajiri. Check unavyoji-quote na kujijibu.
Mi anisaidie tu kibarua tu kwa wiki mbili zilizobaki za Likizo...nimelala sina cha kufanya kabisa hapa😔
 
Tatizo mwandiko tu...
 

Ulijipanga mda mrefu kutukia mbao kwa ajili gani? Mbao zinaongeza ufanisi au ni kutokujielewa?
 
Uzi tyr 🙏
 
Naliona kama halina paa, vipi hiki kipindi cha mvua, litahimili kishindo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…