Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mnara huo, subiri Airtel warudushe minara yao pengine mambo yanaweza kuwa vizuri kichwani mwakeBwana wewe Kama una ndugu hapo karibu mwambie akuwahishe mirembe kabla Hali haijawa mbaya,kadri siku zinavyokwenda nakuona unazidi kuwa empty tin
Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilaya, hawa huapishwa na wakuu wa mikoa yaoMara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Nimekuuliza utawezaje kuolewa na wanaume wawili? Hata Kama ndio umalaya Ila sio kihivyo sasaKama Wewe Basha wako alivyokuacha.
Akili ya kulijua hilo anayo?Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilaya, hawa huapishwa na wakuu wa mikoa yao
Na bado alikuwa anamnyea. kuna umri ukifikia kubarika tabia ni ngumu sana.Sabaya aliapishwa na Mama Anna Mgwira.View attachment 1824385View attachment 1824386View attachment 1824388View attachment 1824387
Sorry kwa Leo umeandika utopoloKama Wewe Basha wako alivyokuacha.
Wee mtu naona unaweweseka Sana siku hizi,au na wewe ni mhanga wa uteuzi,mbona hata kwa JPM ilikuwa ni hivyo hivyo.Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Kumbe ikikuwa hujui mkuu?Huyu mtoa hoja ni Kati ya watu ambao ubongo wao ulisha gandamana,nimegoogle nimeona wakuu wa mikoa ndo walikuwa wanawaapisha wakuu wa wilaya hata enzi za JPM.Wewe ni either umeachwa na mumeo au una tatizo la akili.
Hivyo vitu ukienda Google tu unapata ukweli kabla ya kukimbilia kupost
Unajua kuapisha wewe? Huna maanaPumbavu ilishafanyika hivyo kwa Hayati.
Huyu hajaolewa ni single mother Fulani hivi anayeishi kwa kuunga unga, na ukimtathimini utagundua Yuko below 20'sNikufatilie wewe? Ulishaona wapi mwanamke anaolewa na wanaume wawili?
Hapana siyo kilaza mkuu inatakiwa tumsaidie kuelewa mambo yanavyoendaHuyo jamaa ni kilaza
okay, DC wa HAI ni nani mkuuNimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Haina haya ya sorry kwa mtopolo Kama huyu.Sorry kwa Leo umeandika utopolo
Kikatiba anayemwakilisha Rais ni RC katika mkoa na wa pili ni mwenyekiti wa mtaa au kijiji katika kijiji chake. Mkuu wa Wilaya ni mwakilishi wa mkuu wa mkoa. Kikawaida DC ni kibarua wa RC ndiyo maana RC huwanyanyasa DC wakeKwa hiyo tukubaliane kitendo cha DC kujitutumua "MIMI NDO MWAKILISHI WA RAIS" si sahihi inatakiwa aseme yeye ni mwakilishi wa RC?
Mwendawazimu yule , mambo yake yalikua vururu vururu...!Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Tulijikuta kila siku kuna live show anaongea yeye tu. Safi sanaMara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Unaona akili zako unawaza mabasha tu !Kama Wewe Basha wako alivyokuacha.
Hapa vipi mkuu?View attachment 1824462Tulijikuta kila siku kuna live show anaongea yeye tu. Safi sana
.Tulijikuta kila siku kuna live show anaongea yeye tu. Safi sana