Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Wee mtu naona unaweweseka Sana siku hizi,au na wewe ni mhanga wa uteuzi,mbona hata kwa JPM ilikuwa ni hivyo hivyo.

Humo kwa bichwa lako kunashida gani siku hizi bwana wewe?
Screenshot_20210620-120350.jpg
fed9eef8-561f-4c88-99ca-3dce7e102246-768x536.jpg
 
Wewe ni either umeachwa na mumeo au una tatizo la akili.
Hivyo vitu ukienda Google tu unapata ukweli kabla ya kukimbilia kupost
Kumbe ikikuwa hujui mkuu?Huyu mtoa hoja ni Kati ya watu ambao ubongo wao ulisha gandamana,nimegoogle nimeona wakuu wa mikoa ndo walikuwa wanawaapisha wakuu wa wilaya hata enzi za JPM.
 
Too muc know ni shida. Jamaa kaleta mada akihisi yuko sahihi. Baada ya kupata maelekezo na mifano hai, BADO anashupaza shingo tu. Muugwana angekubali kukosolewa na maisha yakaendelea.
Anyway JACK OF ALL TRADES, MASTER OF NONE
 
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
okay, DC wa HAI ni nani mkuu
 
Kwa hiyo tukubaliane kitendo cha DC kujitutumua "MIMI NDO MWAKILISHI WA RAIS" si sahihi inatakiwa aseme yeye ni mwakilishi wa RC?
Kikatiba anayemwakilisha Rais ni RC katika mkoa na wa pili ni mwenyekiti wa mtaa au kijiji katika kijiji chake. Mkuu wa Wilaya ni mwakilishi wa mkuu wa mkoa. Kikawaida DC ni kibarua wa RC ndiyo maana RC huwanyanyasa DC wake
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Mwendawazimu yule , mambo yake yalikua vururu vururu...!
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Tulijikuta kila siku kuna live show anaongea yeye tu. Safi sana
 
Back
Top Bottom