Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Achana nao
99.9% ya 'Wanaonichukia' hapa JamiiForums ndiyo 24/7 wakiingia tu Mitandaoni ni lazima tu ama watafungua 'threads' zangu na watafuatilia nimechangia nini Kwingineko.

Na ndiyo maana huwa nawasanifu na ninawadharau sana tu. Hivi 'Logically' Mtu ( Member ) usiyempenda ( usiyemkubali ) hapa JamiiForums unaweza kupoteza muda wako Kumfuatilia kila Uchao?
 
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Ahaaa

Screenshot_20210622-071924_Chrome.jpg
 
Uamuzi mzuri sana, Nawaza Sabaya na Kiburi chake cha "uandakava"feki angeapa kwa mama mghwira kweli, ?
Bora hata JOJO amepelekwa Dar apate mwanaueme aise, maana uzazi kwa wanawake unakoma miaka ikifika 40, sasa ana miaka 35 hana hata mchumba.
Kwani unafikiri nani alimwapisha kiwa DC?
 
Ahahahahahahahajah! Eti kaleta jambo jipya! Ahahahahahahah!
Sasa kama umejua siyo Jambo jipya Kwako kwanini umepoteza muda wako kuja Kuchangia na Kucheka 'Kimalaya' hivi kana kwamba ndiyo umetoka zako 'Kukazwa' kwa 'Kishindo' hapo Makao Makuu yenu Sinza Afrika Sana?
 
Ila kiukweli kweli Uzi wako huu UMEJIAIBISHA SANA! Kumbe hujui kitu halafu mjuaaaaaji! Ahahahahahahaj! Pole sana ila umechemka!!!
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Mbona watu mnapenda sana kupotosha ukweli?Hawa wakuu wa wilaya ,nimeshashuhudia mara nyingi wakiapishwa na wakuu wa mikoa.Na ndio utaratibu .Leo ndugu unaibuka na uzi ,wa uongo eti walikuwa wanaapishwa na Rais.Ebu achane kuichafua JF,kuwa haina watu makini.Moderator ondoa uzi huu,ni uongo mtupu hapa.
 
Ila kiukweli kweli Uzi wako huu UMEJIAIBISHA SANA! Kumbe hujui kitu halafu mjuaaaaaji! Ahahahahahahaj! Pole sana ila umechemka!!!
Nimejiabisha nilipojiunga JamiiForums mwaka 2013 nilikuambia kuwa nakuja hapa kutafuta Kutokuaibika?

Mbona Wewe unajiaibisha kwa 'Kutinduliwa' hovyo kwa 'Udangaji' wako Uliotukuka na wala hushangai / hujishangai?

Pumbavu.
 
Unachofanya kwa Kiinglishi inaitwa, "Trying to save face!" Ahahahahahahah!!!
 
Mghwira leo amemuapisha Mkuu mpya wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya katika hafla fupi ya kuapishwa kwa mteule huyo wa Rais Magufuli katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro,Wakurugenzi,Makatibu tawala wa wilaya, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pamoja na ndugu na marafiki wa mkuu huyo mpya wa wilaya ya Hai.

View attachment 1824305
Nebuchadnezzar in his best days!
 
Mbona watu mnapenda sana kupotosha ukweli?Hawa wakuu wa wilaya ,nimeshashuhudia mara nyingi wakiapishwa na wakuu wa mikoa.Na ndio utaratibu .Leo ndugu unaibuka na uzi ,wa uongo eti walikuwa wanaapishwa na Rais.Ebu achane kuichafua JF,kuwa haina watu makini.Moderator ondoa uzi huu,ni uongo mtupu hapa.
Mimi nawaomba Moderators wasiutoe ( wasiufute ) huu Uzi ili unisaidie kujua mengi yakiwemo hata ya Kuwajua 'Wapuuzi' kama Wewe na Wenzako mliojazana katika huu huu Uzi wangu.
 
Back
Top Bottom