Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.