Nimeukubali muziki wa Tundu Lissu na John Heche

Wenye chuki ni ccm dhidi ya chadema. Ni lini chadema walioteka viongozi wa ccm au kuwakata kwemye chaguzi ili ccm isishinde?
Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!
 
Lisu ni mpakwa mafuta. Huyu ambaye bila pafyumu na make up hawezi kutoka hadharani hawezi kupambana na mpakwa mafuta.
 
Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.

Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.

Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.

Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Wale siyo viongozi wa dini ni matapeli wa dini
 
Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!
Hizo ni drama za uccm amepata majeraha gani aliyosababishiwa.
 
Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!
Kwahiyo serikali haina umuhimu wa kuwakamata hawo watekaji wa chadema ili wafunguliwe kesi au wanaogopwa???
 
Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.

Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.

Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.

Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Atukuzwe Mungu Milele 🙏🙏
 
Mkuu mzee wa Russia, aksante kwa andiko zuri!!

Kanda Moja tu imetosha kuwa kipimo, imetoa mwanga wa nini maana ya "NO REFORMS, NO ELECTION "

inaonesha kuwa na impact kubwa positive.

Nafikiri, mama itabidi aongeze muda kukaa madarakani miezi kama 4, kupisha marekebisho ya sheria za uchaguzi,tume huru,marekebisho madogo ya katiba, ili nchi iingie kwenye uchaguzi mkuu unaoaminika, kuheshimika na kukubalika na watu.

Na jambo hili ni kwa ajili ya maslahi ya taifa letu,amani, na sio manufaa ya mtu binafsi au Taasisi fulani.

Tusisubiri mpaka Mungu aingilie kati kama ilivyokuwa mwaka ule 🤔🤔
 
No reform No election. Hakuna mwenye akili timanu atapanga foleni safari hii.
 
Back
Top Bottom