Mtu anajinasibu anakubalika amefanya makubwa ya maendeleo lakini uchaguzi huru na wa Haki hutakiππmana ukiwa unakubalika tume ikiwa huru tena si ndio utashinda bila lawama hawatakiNo reform no Election !!
Najiuliza uoga wa Nini si waitishe tu uchaguzi tuone Kama watatoboa?
Lissu na heche ni maji marefu kwa Sasa!!
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawajitambui!Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Tatizo chadema wengi mna mihemko inayokukosesheni akili; hapa unawaharibia nyumbu wenzio badala ya kujenga pimbi wewe. Tatizo mna chuki sana na huo upande mpaka mnashindwa kujizuia.Mufti nae anaitwa Dr
Amesoma sana,uislam na short course za computer
Na bado ,Bado Kanda 9.....
Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
tunasubiria wazo la wasomi ,TEC sio la kilaza wenu huyoTatizo chadema wengi mna mihemko inayokukosesheni akili; hapa unawaharibia nyumbu wenzio badala ya kujenga pimbi wewe. Tatizo mna chuki sana na huo upande mpaka mnashindwa kujizuia.
No reform no Election !!
Najiuliza uoga wa Nini si waitishe tu uchaguzi tuone Kama watatoboa?
Lissu na heche ni maji marefu kwa Sasa!!
Asante Mungu kwa sababu Samia tayari ameshaingia mtegoni hawezi kuwa Tena rais wa TANZANIA.Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Viongozi wetu wa dini wanatuweka katika wakati magumu Sana kwa kweli...Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Hahahahaaa! Inaonekana umetoka kufakamia pua ya nguruwe yenye kamasi. Hao wameongea mara ngapi?!! Na Wakiongea mtafanya nini' punguani wewe?!!! Kadiri mnavyoleta hayo mambo na vilaza wenzio wanaokupa likes ndivyo mnavyozidi kumpeleka mbali na ikulu huyo shoga wenu.tunasubiria wazo la wasomi ,TEC sio la kilaza wenu huyo
ππMaua MkuuπππππππMtu anajinasibu anakubalika amefanya makubwa ya maendeleo lakini uchaguzi huru na wa Haki hutakiππmana ukiwa unakubalika tume ikiwa huru tena si ndio utashinda bila lawama hawataki
sawa tufanye wataondoka kweli, maana ni kweliWachukieni hao watu kwa kiwango chochote Cha chuki lkn nakuapia mpaka nyie na vizazi vyenu mnaondoka
Sasa watawaonaje tena na watu wameshaondoka mkuuDunia hii mtaendelea kuwaona.........tena wakiwa hivyohivyo; hawana makuu lkn wenye furaha tele.
Wenye chuki ni ccm dhidi ya chadema. Ni lini chadema walioteka viongozi wa ccm au kuwakata kwemye chaguzi ili ccm isishinde?Tatizo chadema wengi mna mihemko inayokukosesheni akili; hapa unawaharibia nyumbu wenzio badala ya kujenga pimbi wewe. Tatizo mna chuki sana na huo upande mpaka mnashindwa kujizuia.
π―ππππππWenye chuki ni ccm dhidi ya chadema. Ni lini chadema walioteka viongozi wa ccm au kuwakata kwemye chaguzi ili ccm isishinde?