๐ฎ๐ฎ๐ฎTatizo chadema wengi mna mihemko inayokukosesheni akili; hapa unawaharibia nyumbu wenzio badala ya kujenga pimbi wewe. Tatizo mna chuki sana na huo upande mpaka mnashindwa kujizuia.
Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!Wenye chuki ni ccm dhidi ya chadema. Ni lini chadema walioteka viongozi wa ccm au kuwakata kwemye chaguzi ili ccm isishinde?
Ah, we nyumbu hauna madhara tupa tu.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃsawa tufanye wataondoka kweli, maana ni kweli
Sasa watawaonaje tena na watu wameshaondoka mkuu
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐Ah, we nyumbu hauna madhara tupa tu.
Wale siyo viongozi wa dini ni matapeli wa diniBila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Hawezi kukubali sababu hawatashinda kwa hakiNo reform no Election !!
Najiuliza uoga wa Nini si waitishe tu uchaguzi tuone Kama watatoboa?
Lissu na heche ni maji marefu kwa Sasa!!
Hizo ni drama za uccm amepata majeraha gani aliyosababishiwa.Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!
Kwahiyo serikali haina umuhimu wa kuwakamata hawo watekaji wa chadema ili wafunguliwe kesi au wanaogopwa???Kuna kiongozi mkubwa aliwahi kusema kuwa chadema Kuna Kuna kikundi Cha utekaji......juzi Kuna mdada alipata kipigo (sio kutoka kwa ccm) na tunapozungumza yupo hospitali anauguzwa majeraha aliyoyapata. Hili unalisemaje kiongozi?!!!!! Mbona kama Kuna dots zinajiunganisha bila kuunganishwa!
Atukuzwe Mungu Milele ๐๐Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha.
Saa hizi wameanza kuwarubuni baadhi ya viongozi wa Dini hasa wale wabovu wabovu ili wawe wanatoa kauli zinazopinga kaulimbiu ya No reforms No election.
Watanzania tumeamua. Hatutawasikiliza viongozi wa Dini wanaoona upande mmoja tu, upande mwingine hawauoni.
Kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Utukuzwe Mungu mkuu. Uwavuvie roho wa ujasiri, ufahamu, nguvu na maarifa Watanzania wote ili wakapiganie haki yao bila kusita.
Mkuu mzee wa Russia, aksante kwa andiko zuri!!Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.