Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 574
- 1,098
sioni tatizo kwa umri wake kuwa na mke,labda awe kalelewa kimama mama.ila kama kiuchumi yupo vizuri aoe tu.Mtoto wa kiume 23 unawaza ndoa? Acha utani kula ugali wa shkamoo huku ukitengeneza maisha yako ukifika 30 ndo utafute mchumba