Nimeumbwa niwe single?

Nimeumbwa niwe single?

Mtoto wa kiume 23 unawaza ndoa? Acha utani kula ugali wa shkamoo huku ukitengeneza maisha yako ukifika 30 ndo utafute mchumba
sioni tatizo kwa umri wake kuwa na mke,labda awe kalelewa kimama mama.ila kama kiuchumi yupo vizuri aoe tu.
 
Bado unanuka maziwa nyege ndo zinakusumbua kapige nyeto achana kuharibu watoto wa watu. At 23 una nn la maana la kuhudumia familiya? Au unataka usaidiwe kotekote? Yaani kitandani na matumizi ya ndani?
hapo kwenye red mbona siku hizi viburudisho mmekuwa wakali sana uku mkisisitiza tukafanye icho kitendo wakati nyie mpo,kuna mchepuko wangu nao siku izi kidogo tu utasikia kapige nyeto...mie mbavu sina
 
images-2.jpeg


waoo its summer time here in city of Singida

swissme
 
Ha ha ha ha ha kumbe singida ishakua city daadeki sisikilizi radio kumbe
we hujui ndio singapore ya bongo hiyo ni zaidi ya dsm ,yaani unapata watoto wabichiii tena bikira mie kwa kukaa kwangu miezi sita tu nikachana kira 7.....life start at 40 bwana
 
Sasa we miaka 23unasema hunabahati ukifika 50
 
duuh!! yani full misuto na michambo kama taarabu na kama ingekua uswahilini alikua kakosa matalumbeta tu
 
Mtoto wa kiume 23 unawaza ndoa? Acha utani kula ugali wa shkamoo huku ukitengeneza maisha yako ukifika 30 ndo utafute mchumba

Kwani kuna shida gani kuoa ukiwa na miaka 23?
Kaka zangu wakubwa wamefanya hivyo kasoro mimi na brother tuliefuatana ndiyo tunazingua mpaka leo.
Nasubiri mwakani nikiwa na miaka 24 naoa fasta!
 
Back
Top Bottom