Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

Pole yako.

Cc Darlin
 
Brother wewe unaamini walichokisema hao waliosoma na huyo Dada? Nafikiri ingekuwa busara kutochukua upande wowote kwanza.
Nimeshuhudia kijana mmoja alipoonyesha nia ya kutaka kumuoa binti kulizuka maneno mengi sana,mara kijana achunguzwe ana mke na watoto mara kijana amewahi kuugua kichaa na yote hayo waliokuwa wanaongea ni watu wa jinsia ya ke na yalikuwa uongo.Kiongozi wa dini alifanya research na kugundua ulikuwa wivu.
Kuwa makini na unachokisikia unapokutana na mtu unayempenda fanya research kama ni applicable usije ukajakusema kwanini sikuchunguza nikawaamini.
 
Mkuu mimba 15 sio kitu rahisi binadamu kutoa na je kama huyo aliekuambia anakutaka ama ana ugomvi nae wa chuo .mlevi anaongea ukweli ila kama amekuona wewe ni fursa lazima akupange.ukitaka mahusiano yadumu usifukue makaburi peleka hospital kaangalie kama ana kizazi ila Nina uhakika ilikua unapangwa
 
Good, kama ulikuwa kwenye akili yangu. Wanawake hatupendani
Yeah me walinipanga kweli wanampga vita mwenzao alafu mwisho wa siku walivyoona kama siwasikilizi mmoja wao akaja kunifungukia bhn hadi nikajiuliza maneno yote yale mbona hakuongea mapema?
 
Hii IPO Sana,hasa binti akiwa mrembo kupitiliza[emoji4]
 
Kama kasoma chuo cha ualimu hapo jiandae tu...japo 15 ni nying sana, uongo huo
Mi nilikuwa nae alisoma singida ualimu...nae katoa za kutosha
 
Sio kweli,hakuna mtu anayeweza kupona akitoa mimba idadi hiyo.
 
Fuatilia vizuri inaweza ikawa ni 150 , hiyo 15 ni chache mno kwa mwenye chini ya mia30.
 
Hiyo kitu ilishawahi kunitokea lkn mimi niliambiwa katoa 3. Kuja kumuuliza akanijibu hajatoa 3 Bali katoa moja tu [emoji3]
Kiukweli nilimtafutia sababu nikamwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…