Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.

Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualim...
Pole yako.

Cc Darlin
 
Brother wewe unaamini walichokisema hao waliosoma na huyo Dada? Nafikiri ingekuwa busara kutochukua upande wowote kwanza.
Nimeshuhudia kijana mmoja alipoonyesha nia ya kutaka kumuoa binti kulizuka maneno mengi sana,mara kijana achunguzwe ana mke na watoto mara kijana amewahi kuugua kichaa na yote hayo waliokuwa wanaongea ni watu wa jinsia ya ke na yalikuwa uongo.Kiongozi wa dini alifanya research na kugundua ulikuwa wivu.
Kuwa makini na unachokisikia unapokutana na mtu unayempenda fanya research kama ni applicable usije ukajakusema kwanini sikuchunguza nikawaamini.
 
Mkuu mimba 15 sio kitu rahisi binadamu kutoa na je kama huyo aliekuambia anakutaka ama ana ugomvi nae wa chuo .mlevi anaongea ukweli ila kama amekuona wewe ni fursa lazima akupange.ukitaka mahusiano yadumu usifukue makaburi peleka hospital kaangalie kama ana kizazi ila Nina uhakika ilikua unapangwa
 
Good, kama ulikuwa kwenye akili yangu. Wanawake hatupendani
Yeah me walinipanga kweli wanampga vita mwenzao alafu mwisho wa siku walivyoona kama siwasikilizi mmoja wao akaja kunifungukia bhn hadi nikajiuliza maneno yote yale mbona hakuongea mapema?
 
Kuna kidemu nilikuwa nacho kila muda tulikuwa tunapishana kauli maana kinapenda sana kusikiliza ushauri wa marafiki na watu hata wasiojua mahusiano yake yakoje

Boss usiwaamini sana hao wanaokwambia katoa hzo mimba mfatilie we mwenyewe adui wa mwanamke ni mwanamke kuna mpenzi nilikuwaga nae alikuwa anaongelewa vby kitaani ana masela wengi hata madem wenzake walikuwa wananiambia kuwa hapo sipo ila ukweli nilimkuta bikra 😀 Nakushauri tu usimuhukumu kwa hayo uloambiwa yapo mengi ya kujiaminisha kabla ya maneno ya kuambiwa
nikutakie utekelezaji mwema
Hii IPO Sana,hasa binti akiwa mrembo kupitiliza[emoji4]
 
Kama kasoma chuo cha ualimu hapo jiandae tu...japo 15 ni nying sana, uongo huo
Mi nilikuwa nae alisoma singida ualimu...nae katoa za kutosha
 
Sio kweli,hakuna mtu anayeweza kupona akitoa mimba idadi hiyo.
 
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.

Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu.

Sasa bhana mie pia najua demu wangu kasoma chuo hicho kumbe hao mademu wamesoma nae, nikamtaja majina yake.

Dadeki kuna mmoja alikuwa tayari yuko vibes na vyombo bia zimekolea si karopokwa aaha huyo si Witness tena yeye ni dotto wako mapacha huyo alikuwa
kiranja wa kutoa mimba, yule hadi tunamaliza chuo alishatoa mimba 12 na baada ya chuo nina uhakika pia alitoa mimba 3.

Baada ya hapo sina mawasiliano nae ila alivyoroporopo kama mimi nikionana nae au nikimcheki kwenye simu nikimuuliza kuhusu michongo ya kusimamia shoo za kukataa kuzaa atasema tu hana kaba yule.

Nimevurugwa baada ya hapo sikuaga nikasepa nikaenda kula Guinness stout, nikajikuta niko na demu wa kaunta bar moja maarufu hapa Dodoma.

Usiombe yaliyo nikuta yakukute.
Kuna mademu ni maninja sina hamu nimevurugwa sana.

Dunia bado ipo sana hofu ni kwetu sisi walimwengu.

Am disillusioned really.

Wadiz now chopped off.
Fuatilia vizuri inaweza ikawa ni 150 , hiyo 15 ni chache mno kwa mwenye chini ya mia30.
 
Hiyo kitu ilishawahi kunitokea lkn mimi niliambiwa katoa 3. Kuja kumuuliza akanijibu hajatoa 3 Bali katoa moja tu [emoji3]
Kiukweli nilimtafutia sababu nikamwaga
 
Back
Top Bottom