PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema fagieni na hii takataka ilibakizwa kwa malengo maalum nyumba yenu ibaki safi.

Wote waliohama hakuna hata mmoja ambaye ni tishio au machachali na kundi la wanufaika wa ruzuku sasa mrija umekatwa wamenuna.
Huyu mjinga. Alitabir chama kufa ndani ya miezi miwili kama lisu angechaguliwa leo anajidai kuumia
 
Sioni kama chama kimeparaganyika kwa namna yoyote, Chadema ni kama bahari haikai na uchafu lazima utaukuta pwani ya Kijani
 
Watu kuhama katika Vyama vya Siasa au kuhama Dhehebu la Dini ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani. Wala siyo Kitu Kigeni.

Isipokuwa kwa jinsi Mimi ninavyofahamu, nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-

1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.

2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.

3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
Ccm imeunda serikali ya Zanzibar na ACT Wazalendo, hawa hawawezi kusema no reform no election, maana wanajuwa Mwinyi mitano tena wao watatowa makamu wa Rais na Zitto anazawadiwa jimbo la Kigoma mjini.

Mwanaccm mwenye akili timamu asigombee jimbo la Kigoma mjini ni kupoteza pesa zako tu wakati kibaraka wao tayari ameshahakikishiwa jimbo ili kuilaghai jumuiya ya Kimataifa Tanzania kuna demokrasia na wapinzani wanashinda uchaguzi na wasioshinda basi wamekataliwa na wananchi.

Huu ndio ulaghai wanaotegemea ccm, hata jana siku ya bunge la Ulaya wao wamewatumia njaa 55 kuitisha press na magazeti yote kuhongwa pesa hakuna heading ya bunge la ulaya front page zote kuna heading za Vigogo wa Njaa 55 wajiondoa Chadema.

Kwa mtu mwenye akili timamu na ukiamuwa kuzitumia kweli akili zako, angalia vichwa vya habari vya magazeti yote ya leo Tanzania utagunduwa Mhariri ni mmoja.

Bunge la ulaya utalinyima coverage kwenye media house za Tanzania kwa njaa walizonazo lakini EU inaweza kuonesha madhara yake direct kwa wananchi kitu ambacho huwezi kukificha.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116

View: https://youtu.be/ykNP4AZbHvA?si=1PUrRbxLD9mZV6KF
Msikilize huyu mzee wenu Mkongwe Jeremiah Maganja akiwavua nguo G55...

Hakuna sababu nyingine inayowafanya mlalamike na kujitoa akili zaidi tu kwamba mirija na deal zenu chafu kwa mwavuli wa CHADEMA zimepigwa nyundo..

Tundu Lissu, John Heche na John Mnyika ni watu ambao ni very upright, waadilifu na hawana makando kando ya uchafu wa ki - CCM..
 
Mimi nilikuwa wewe una matatizo kichwani baada ya kuanzia kupost upumbavu wa kumsapoti Putin Instagram hadi wenye Instagram yao walipokudhibiti. Umeona wapi mtetezi wa watu kumshabikia dikteta?

Ulipoanza kashfa na kejeli ukiwa na chizi mwenzio Paul Ntobi nilikuwa ndio mwisho wenu na sasa umefika. Wewe nenda tu usiogope.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Waende tu, waondike kabisa; angalau ningeshituka kama wewe ungekua miongoni mwao.

Vv
 
Yeriko Nyerere
Kupitia uchaguzi huu wa ndani ya chama, tumewatambua kabisa watu waliokwamisha upinzani kutwaa dola kwa miaka 30 tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Lakini hii pia ndiyo inadhihirisha namna CCM ilivyojiandaa kuhakikisha hakuna mtu wa kuwatoa madarakani. Kifupi tumekuwa na wanasiasa wanaojiita wapinzani lakini ukweli ni kuwa wote ni watumwa wa Chama cha Mapinduzi.

Hata wewe nilikuamini kama mtu makini, lakini wewe nawe ni system pure, yaani upo kuisaidia CCM kulinda maslahi yake. Mbowe ukiangalia amefilisiwa na Sabaya lakini hajawahi kutetereka kiuchumi, fedha anatoa wapi? Kumbe anachotewa toka hazina za Taifa.

Kwa watu wa mageuzi wa kweli, combination ya Lissu na Heche, itatuta siasa zitakazoleta mageuzi nchini na kuweka mizani sawa ya ushindani. Ninyi na FAM wenu ni watu wa CCM, ndiyo maana miaka 30 hatujasogea popote. Yaani wewe na Msigwa mna tofauti gani?

Tuko na Lisu japo tutaumizwa, lakini ukombozi huja na gharama ikibidi kupoteza maisha. Wapisheni watu wakweli, ondokeni na usinichi wetu
 
Poyoyo mkubwa wewe,huna jipya,chadema ndo inazidi kuimarika, binafsi sikuwa na Iman na mbowe,na kama hujui mbowe ni mtu wa state,hivyo chini ya mbowe ilikuwa ni ngumu kupata upinzani imara kama uliopo sasa.

Watu wengi Wana Imani na lissu
Hata Yericko Nyerere ana imani naye Lissu alichokisema baada ya uchaguzi walioshinda walitakiwa kukiponya chama kwa majeraha ya uchaguzi lakini walioshinda hawakufanya hivyo.
 
Kuponya majeraha ndiyo kitu gani? Wanatafuta teuzi? Wanatafta nini? Uchaguzi ukiisha, mnavunja kambi zenu mnakuwa na agenda za walioshinda ndizo zinaongoza chama. Wao wanataka waendelee na Mbowe. Inawezekana vipi?
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116

Watu mna code adhm kabisa na hamsemi 😂😂😂
Mkuu wala sio code kina kilewo, mrema,.mallya, mwalimu etc walimwaga machozi kuliko lilian mtei mbowe..
Chakushangaza mbowe alikuwa strong wanawabembeleza.
 
Ukihama wewe pamoja na Mbowe aka wajasiria siasa itakuwa vizuri sana mko kama popo kwenye chama laleni mbele CDM iko Imara
 
Nyie kule kwenye chumba maalum vi.p mlimani city wakala wa ambowe alivyosema kuwa tumeshindwa.
Watu waliangua kilio hadi Mbowe akaanza kuwabembeleza, tafakari kilikuwa kilio cha nini?!

Jibu ni kwamba walikuwa wanawaza maisha yataendaje ndio kusema NJAA;
Hivyo basi lazima watafute malisho
Maisha yao yakitegemea hisani ya Mbowe
 
Nimecheka vibaya, nakumbuka wakati wa kampeni ulivyokuwa unaongea kwa mbwembwe na kejeli, kuwa ukishindwa hakuna kuhama chama. Wakati ule uliamini kabisa Mbowe atashinda. Kibao kimegeuka naona mmetema bungo. Hata ww na Mbowe mtahama tu, ni suala la muada. Hakuna maridhiano na wasaka vyeo. Na hilo genge lililohama leo, ni sehemu ya covid19. Ifahamike bahari haikai na uchafu.
Ndio ile wanasemaga wamarekani, "we do not negotiate with terrorists"😄😄

Huwezi kufanya maridhian na chawa/vyawa
 
Back
Top Bottom