PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Kwani mkuu baada ya uchaguzi ulitaka mapatano ya namna gani??,, Kama hakukua na umoja baada ya uchaguzi nini kilikuwa kisababishi? Tuanzie hapo,tujuze tafadhali
 
Haka kajamaa kanafiki sana ,katimuliwe haraka sana, ati kalikua kwenye mikakati ya ushindi wa Mbowe, wenda ndo kalikua kanauza mipango kwa kambi pinzani,

Hivi tuliposema kipindi kile kabla ya uchaguzi kwamba mliokula pesa za watu rudisheni mapema ,hamkuelewa ?

Acheni tegemea mizimu ,tupo watu wa Mungu alie hai jitahidi fanya rejea zetu ,sio wachungaji, manabii , walim n.k,ila Mungu katupa kibali kuona yajayo
 
Qmmke umepigwa za uso, sisi tulijua kitambo sana lazima msepe, kidali michambo
 
To put the record clearly, Mrema alifukuzwa, hakujitoa mwenyewe; halafu alivyo muhuni kumbe hata kadi kakata mwezi April mwaka hu? Yaani miaka yote jamaa hakua na kadi? Hi ni kwa mujibu wa post yake aliopost mwenyewe kule Twitter.
Kingine ni hiki, ni wewe ndio unae sikitika, wengine tulitamani wewe na hao wenzio mfukuzwe zamani tu, sema Lissu na cabinet yake ni wavumilivu sana, huwezi kuipinga taasisi ambayo wewe pia ni member wake, kibaya zaidi unapinga kile kile ambacho wewe ndio uliye draft hadi paper ya hiyo motion inayo hubiriwa na uongozi uliopo! Mrema na Kigaila hawana udhu wa kuikataa NRNE, wao ni waasisi wa hilo; ni mpumbavu pekee yake anaweza kuwaunga mkono hao jamaa.
Halafu, hivi kwa akili zako, unaona ni sawa kwa wale wabunge 19 waliofukuzwa na chama chenu halafu watu hao hao wamekipeleka chama mahakamani lakini watetezi wa kesi ya chama ni waume wa washtaki? Inatakiwa kua na degree ya upumbavu kuliunga mkono hilo dogo, AMKA usingizini bwana shushushu wa mchongo
 
Chedema abaki Lissu PEKEE bado atawatikisa maccm we nenda
Yerico nenda lakini sijui waelekea wapi maana Zitto na wewe ni chui na paka nendeni chauma
 
Mh Yericko Nyerere
Naomba urejee katika uzi ili utugaie elimu ambayo wengine hatuna ufahamu nayo.
Ningependa tuanze na madai ya '' Wahamaji''. Hoja zao zilizowasukuma kuondoka CHADEMA ni zipi?

Ahsante

JokaKuu
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Wewe ni MPUUZI Mkubwa na MJINGA, chama Gani kimeoaraganyika??🤣🤣🤣 Huwa unatoa wapi vichekesho hivi we dogo mnafiki??

Ni NJAAA ZENU NDIYO zimesambaratika 🤔🤔🤔
 
Andiko jepesi sana!, yani maana yake ulichotakiwa kuandika hujaandika ila ulichoandika imeonyesha upofu wa fikra zako!
Halafu huyu boya anajifanya sijui anauza vitabu gani sijui, hapa anakuja kuandika USHABWADA....🤣🤣🤣🤣🤔🤔 NJAA mabaya sana
 
Mpumbavu wewe huyo kibaka namba 1 mezani hapo aliona mapema kuwa amejifuta kwenye siasa akaamua astaafu.

Hao wahuni wengine mezani na wewe nina uhakika watanzania watawastaafisha rasmi ndani ya miezi miwili ijayo na hamtaamini macho yenu.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Tapeli!
 
Mhhhj,kazi kazi
 
Kato***e
 
Mfanyabiashara Elon Musk alichangia zaidi ya Bilioni 500 katika kampeni ya Trump.
Hoja yako haitasikilizwa, tafuta point nzito zaidi
 
Back
Top Bottom