Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Huyu mjinga. Alitabir chama kufa ndani ya miezi miwili kama lisu angechaguliwa leo anajidai kuumiaChadema fagieni na hii takataka ilibakizwa kwa malengo maalum nyumba yenu ibaki safi.
Wote waliohama hakuna hata mmoja ambaye ni tishio au machachali na kundi la wanufaika wa ruzuku sasa mrija umekatwa wamenuna.
Ccm imeunda serikali ya Zanzibar na ACT Wazalendo, hawa hawawezi kusema no reform no election, maana wanajuwa Mwinyi mitano tena wao watatowa makamu wa Rais na Zitto anazawadiwa jimbo la Kigoma mjini.Watu kuhama katika Vyama vya Siasa au kuhama Dhehebu la Dini ni jambo la kawaida kabisa hapa duniani. Wala siyo Kitu Kigeni.
Isipokuwa kwa jinsi Mimi ninavyofahamu, nchini Tanzania kuna Makundi Matatu (3) ya Vyama vya Siasa, makundi hayo ni:-
1. Vyama Tawala.
Kwa Sasa kipo kimoja tu, yaani CCM. CCM inatawala nchi hii ikiwa Chama pekee, haijaingia Mseto na Chama kingine chocolate kile Cha Siasa ili kuunda Serikali.
2. Vyama vya Upinzani.
Hivi ni Vyma mbadala ambavyo vinakinzana na Chama Tawala kwa kutumia nguvu za hoja, hoja za nguvu, ushawishi wake katika jamii, n.k. Mainly, Vyama hivi vinalenga hasa masuala ya HAKI na Demokrasia.
3. Vyama Mamluki.
Hivi ni Mkusanyiko wa Vyama ambavyo Vinamilikiwa na Chama Tawala kilichopo Madarakani. Kazi yake kuu ni kufanya Siasa za Geresha, Maigizo, hadaa na Ghiriba ili kuhujumu harakati halali za Kupigania HAKI na Demokrasia katika nchi. Vyama hivi ni Kama vile 'Undercover Agents,' wanaofanya kazi chini ya Mwavuli wa Siasa, lakini nyuma ya pazia vinaifanyia kazi Utawala uliopo na Chama Tawala.
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.
Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.
Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.
Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.
Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.
Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!ππππ
WE SHALL WIN!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3327116
Pumbavu kweli Yericho
Waende tu, waondike kabisa; angalau ningeshituka kama wewe ungekua miongoni mwao.Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.
Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.
Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.
Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.
Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.
Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!ππππ
WE SHALL WIN!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3327116
Dah we jamaa eti unajiita jasusiTeh teh π π jasusi Yericko Nyerere haamini macho yake teh teh teh π π π
Waondoke na waumezao wakezao watuachie chamaWaende tu, waondike kabisa; angalau ningeshituka kama wewe ungekua miongoni mwao.
Vv
Yeriko NyerereNimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.
Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.
Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.
Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.
Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.
Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!ππππ
WE SHALL WIN!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3327116
KivipiUnaumiaje wakati WEWE Umeshiriki kukibomoa?
Kwan hamjui Yeriko alikua Upande upi?Kivipi
Hata Yericko Nyerere ana imani naye Lissu alichokisema baada ya uchaguzi walioshinda walitakiwa kukiponya chama kwa majeraha ya uchaguzi lakini walioshinda hawakufanya hivyo.Poyoyo mkubwa wewe,huna jipya,chadema ndo inazidi kuimarika, binafsi sikuwa na Iman na mbowe,na kama hujui mbowe ni mtu wa state,hivyo chini ya mbowe ilikuwa ni ngumu kupata upinzani imara kama uliopo sasa.
Watu wengi Wana Imani na lissu
Kuponya majeraha ndiyo kitu gani? Wanatafuta teuzi? Wanatafta nini? Uchaguzi ukiisha, mnavunja kambi zenu mnakuwa na agenda za walioshinda ndizo zinaongoza chama. Wao wanataka waendelee na Mbowe. Inawezekana vipi?Hata Yericko Nyerere ana imani naye Lissu alichokisema baada ya uchaguzi walioshinda walitakiwa kukiponya chama kwa majeraha ya uchaguzi lakini walioshinda hawakufanya hivyo.
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.
Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.
Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.
Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.
Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.
Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!ππππ
WE SHALL WIN!
Na Yericko Nyerere
View attachment 3327116
Mkuu wala sio code kina kilewo, mrema,.mallya, mwalimu etc walimwaga machozi kuliko lilian mtei mbowe..Watu mna code adhm kabisa na hamsemi πππ
Maisha yao yakitegemea hisani ya MboweNyie kule kwenye chumba maalum vi.p mlimani city wakala wa ambowe alivyosema kuwa tumeshindwa.
Watu waliangua kilio hadi Mbowe akaanza kuwabembeleza, tafakari kilikuwa kilio cha nini?!
Jibu ni kwamba walikuwa wanawaza maisha yataendaje ndio kusema NJAA;
Hivyo basi lazima watafute malisho
Ndio ile wanasemaga wamarekani, "we do not negotiate with terrorists"ππNimecheka vibaya, nakumbuka wakati wa kampeni ulivyokuwa unaongea kwa mbwembwe na kejeli, kuwa ukishindwa hakuna kuhama chama. Wakati ule uliamini kabisa Mbowe atashinda. Kibao kimegeuka naona mmetema bungo. Hata ww na Mbowe mtahama tu, ni suala la muada. Hakuna maridhiano na wasaka vyeo. Na hilo genge lililohama leo, ni sehemu ya covid19. Ifahamike bahari haikai na uchafu.
Hana akili kabisaHuyo kibaka ni mmojawapo wa G 55 hapa anapima upepo, huyu hata leo hii Mbowe akimwambia awe nyumba ndogo yake anakubali,mpuuzi sana.