PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wewe ni mgonjwa wa akili. Before nilifikiri una akili kidogo kumbe ni bure kabisa.

Wakati chama kimefungiwa kufanya kazi zake na kiongozi mkuu kushikiliwa kwa zaidi ya miezi 3 wewe unakuja na propaganda uchwara.

Waambieni Mabwana zenu wafute hizo kesi za kutunga muuone moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…