PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Viongozi wote matapeli huu ndo wakati wao wa kuondoka CDM.

Hatuwahitaji, Sisi wananchi ndo tuna maamuzi na Wakati Sahihi ndo huu,

CDM ndo chama cha wazelendo si chimbo la matapeli, No Reform No Election .
 
Jinga kabisa wewe!

Mapandikizi yote lazima muondoke.

Saivi nchi inahitaji Upinzani wa kweli sio nyie madalali.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwani uchaguzi mulioshiriki 2020 mulishinda nini?
 
Yericko Nyerere ukiendelea kubaki Chadema hao akina Lissu wako tayari kukunyonya damu. HAUKUBARIKI NA HAWAKUTAKI!
 
Na wewe undoka na hao G55 tunahitaji watu clean katika chama, ondoka
 
Anataka kina lissu wakae chini waanze kuwabembeleza. Hawaumizwi na wanachadema kina mdude kutekwa, hawaumizwi na wanachadema kupigwa mahakamani, hawaumizwi na lissu kuwa jela, wao wakiitisha press ni kukisema chama
 
Nenda salama mkuu,Chadema bado kinapendwa sana huku mitaani, watu wamechoka na ccm na wanaona chama kinachoweza kuwapigania ni Chadema ndiyo maana serikali na ccm inapambana nayo kila siku ili kife na kutokomea, Wananchi wengi pamoja na watumishi wengi serikalini wana support Chadema
 
Mamluki mtatoka wote. Siasa za 10% zimeshapitwa na wakati. Ni wakati wa kuhubiri mabadiliko ya kweli , and in the process of mabadiliko ya kweli kuna wengi watafia njiani mana 10% haipo tena.

Uamuzi wao ni mzuri maana adui alikuwa just on Chademas nose 👃…. Ni hatari

Jesus Said ….. purification process requires to separate the chaff from the wheat 🌾.

G55 ni chaff wazee wa siasa za 10%;

wanakianzisha ili baadae waitwe Ikulu kupewa bahasha za kaki na maridhiano ya mchongo
The era of ignorance is over

It is A Prime of chadema …. Haijawahi kutokea kwenye human history

It is never or now , we forward in this generation. Chadema ni taasisi.,,. Kikundi cha siasa za 10% hakina mpact….

Walikuwepo Chadema miaka mingi and nothing changed

Endeleeni ku snitch uongozi mpya na kuwapiga majungu kwenye vikao vyenu vya kando….. but tambueni hamna cha kufanya zaidi ya majungu na chadema ndio italeta Ukombozi wa kweli Tanzania, I do not see any other way around

It is now or never full stop 🛑
 
Tuondolee upumbavu wako na hao njaa 55 wenzako. Chadema ipo sana hatuwezi kuyumbishwa na wapumbavu kana nyie na huyo DJ wenu nendeni mkapewe huo nusu mkate mlio ahidiwa.
Alianza kuweka hili bandiko kule Twitter watu wamemshona kwerikwerii, akaliweka Instagram napo wamemshona , kalileta humu napo watu wanamshona

Sijui huko wanaopenda watapata watu wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…