PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yani ilikuwa hivi,
mbowe anapewa hela toka serikalini kwa upinzani wa uongo then hawa wananufaika nazo kidogo maisha yanaenda.Ukiongeza na ubunge wa kupewa kwa baadhi yao na baadhi ya wake zao viti maalumu wale covid 19 ni full kuishi.
Sasa mrija umekatwa na kufumuliwa wote ndo matokeo yake ni haya.

waende tu.
 
Wewe tapeli umeumia nini wakati wewe ndio miongoni mwa hao wazandiki.

Kura zimepigwa live kila mtu kajionea kwenye mitandao na TV ila bado hamkuamini mmeshindwa sasa tuwasaidie nini?

Je uchaguzi ungefanyika kama yale maigizo ya tume ya ccm mngesemaje?
 
Wewe mjinga ndo umeparaganika! Nenda wafate wenzako!
 
We jamaa hamna kitu. Unaweza ukajiunga nao pia. Hii project mlikua mnataka kuendesha ndani ya chama ni ya kipuuzi. Mlitaka kuunda chama ndani ya chama uongozi juu ya uongozi.

Chama gani kinakubali wapinzani wa ndani ya chama? Si upuuzi huu?

Nendeni na msigeuke nyuma.
 
Yeriko HAKUNA KUHAMA CHAMA😀😀😀😀😀 tumeshika pumbu
 
Naomba ile video ya sugu

Porojoo nyingiii…longolongo nyingiii
Unamaliza tu misitu
 
Wamenunuliwa na ccm
 
ACT ni mtoto wa CHADEMA
 
We ni mjinga sn tapeli mkubwa na vitabu vyako vya kitapeli, eti kitabu cha wagombea Urais na Ubunge na wakati wewe hujawahi kushinda hata Unyekiti wa Kitongoji, chama kimevunjika lakini wewe bado upo humo unafanya nini? shame on you
 
Aache kulialia Tu ni mwendo wa filtration method hadi ibaki crim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…