Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran.
Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama wangeishinda USA jana na kuifungasha virago.
Matokeo yalikuwa yakikatili sana. Ilikuwa pambano kama la imani mbili tofauti zenye ukinzani. Sielewi tulishindwa wapi maana tuliwasaka sana USA. mbaya zaidi jamaa anayejiita Christian ndiye alizamisha jahazi letu.
Upinzani wa USA vs Iran unaanzia nje kabisa ya Uwanja. Iran tunaamini Usa ndiyo wanasababisha vita huku kwetu jana tulitamani sana kuwachapa. Mpira ni mchezo katili sana.