Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Je wewe sio hatari kufuatilia maisha ya watu kiasi ya kuhangaika siuendelee na maisha Yako wewe mwenyewe hujui unakoelekea hadi ukomment ujinga .ila jamani mi napitiaga uzi wa kimasihara ila mwanamke kufikia hatua hiyo ni hatari
Usidanganye uma mm nimepita mwanga nikawapa wanangu hi nikasepa moshi na nikarudi mwanga usiku tena kuchukua mazaga ww unadanganya uma unasema naleta ujuajimkuu
mkuu......acha kuongea vitu hujui halafu sio kila kitu lazima uweke ujuaji na ubishi..
sasa ww kwa akili yako ndogo unadhani humu jf kuna wewe tu.....kuna watu na mamlaka yao(Tulikuwa na polisi wa barabarani kama frank na martin kutoka hapa moshi mjini kwenye tukio hilo)......na ndo maana nimetoa na hilo eneo kama udhibitisho nikijua kabisa ninachosema ni halisi na sijatunga.......ukipata muda kaulize pale stendi ya Moshi mjini ........mabasi ya dar yameingia saa ngapi kutoka dar........narudia tena acha ujuaji na ubishi usio na tija.Usidanganye uma mm nimepita mwanga nikawapa wanangu hi nikasepa moshi na nikarudi mwanga usiku tena kuchukua mazaga ww unadanganya uma unasema naleta ujuaji
Mamlaka gani bwana na polisi hao hawana kazi wakafuatilie watu wanaokulana machakaniπππππ na walichukua hatua gani alaf frank na martini hayo ni majina tu au unahisi tutaamini kisa umesema uko na polisi ππππ pika chai nzuri ukampe na mkuu wa kituo anywe na hao kina frank na martiniπππππππsasa ww kwa akili yako ndogo unadhani humu jf kuna wewe tu.....kuna watu na mamlaka yao(Tulikuwa na polisi wa barabarani kama frank na martin kutoka hapa moshi mjini kwenye tukio hilo)......na ndo maana nimetoa na hilo eneo kama udhibitisho nikijua kabisa ninachosema ni halisi na sijatunga.......ukipata muda kaulize pale stendi ya Moshi mjini ........mabasi ya dar yameingia saa ngapi kutoka dar........narudia tena acha ujuaji na ubishi usio na tija.
Acha kujikuta umeshindikana ww......sote tunakosea na hakuna aliyesema hakosei na wenyewe kwann wafanye kitendo cha siri mbele yetu..........acha kujikuta mdogo wa shetani.Je wewe sio hatari kufuatilia maisha ya watu kiasi ya kuhangaika siuendelee na maisha Yako wewe mwenyewe hujui unakoelekea hadi ukomment ujinga .
Unamsema mwanamke mwenzio uonekane unaakili kumbe Wala
nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu).
Shetani ni wewe na Mimi ndio mdogo wako Sasa niaje broAcha kujikuta umeshindikana ww......sote tunakosea na hakuna aliyesema hakosei na wenyewe kwann wafanye kitendo cha siri mbele yetu..........acha kujikuta mdogo wa shetani.
sasa mkuu hujui hata polisi walifata nini hapo.......halafu bado unakaza.......aiseee.Mamlaka gani bwana na polisi hao hawana kazi wakafuatilie watu wanaokulana machakaniπππππ na walichukua hatua gani alaf frank na martini hayo ni majina tu au unahisi tutaamini kisa umesema uko na polisi ππππ pika chai nzuri ukampe na mkuu wa kituo anywe na hao kina frank na martiniπππππππ
Unatetea chai na mapolisiπππππ hao ni walinzi wa mali zetuππkama hujui
π€£π€£π€£ Kila mtu amshikilie mkewe, mwaka unaisha vibaya huu.Tangu xmass nyuzi za wake za Watu zimetamalaki humu, Nini kinaendelea wakuu[emoji848]