Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Aah ishawai nitokea
Nilikua natokea Dar naenda Dom nilipanda gari la Shabiby lile la mchana yaan saa 7
Tumefika moro saa 10 sijui saa kumi sijui kumi na moja yule jirni yangu alishuka akapanda mbaba mmoja hivj na kibegi chake cha kiofisi sijui anaelekea wapi sikutaka kumuuliza sana tumekaa kagiza hako kakaanza
Yule mbaba it was like ananipapasa kwa mapaja nikasogeza mguu yaani kuibana miguu miwili, likanisogelea ilikua ni ngumu kutoka hapa asingekua yule konda kuwasha taa 😂😂😂😂 sijui ingekuaje
Alivowasha nilihama hio seat cuz watu walikua washaanza kushukashuka af nashukuru nilivaa suruali
Kutokea hapo sipendi kusafiri mchana yaani ka nina safari basi nitatafta gari la asubui mno
p2k