Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

Halafu mnawalazimisha watu kuoa pumbavu zenu😀😀😀😀
 
hata hamjui wamekutana safarini, iliniuma sana.
Mkuu ilikuuma kwa kushindwa kukaliwa na msambwanda au jamaa alivyokuwa anafaidi. Fafanua
 
Nilivyomuelewa mimi kuchukua video alimaanisha kuwaangalia siyo kwamba alirekodi video
Soma hii para

" mimi sababu nilijua mchezo wao nikawafatilia nikawaona wamekaa pembeni mwa lori ambalo lilikuwa pembeni mwa barabara nami nikashuka nikajifanya naongea na simu but nilikuwa nimeacha camera on nichukue lile tukio kidogo, kweli yule binti akapandisha dela akaikalia mashine na kuanza kuikatiki"
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yote kipiga chobo ndani ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…