Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja gani ya kuwa na centre defender 3 wa kimataifa?Mmbadala wa wawa ndo Akpan mkuu?
Upo sahihi mkuu,One team one dream.Mugalu na Kagere waendelee kuwepo kwenye timu coz ni wachezaji wazuri saa na wana potential kubwa ndani ya kikosi
Mm nafikiri simba kwasasa usajili umetosha,kwa wachezaji tuliongeza wanatosha sana na hakuna haja ya kusajili tena
Kaondoka Bwalya,Morrison na Wawa na mbadala wao amekuwa ni Akpan,Okrah na Phiri
Sifikirii kama kuna haja ya kuwa na centre defender 3 wa kimataifa ni bora tuwe na washambuliaji 3 wa kimataifa
Leta ushahidi?Ni ww tu humu hujui kama mimi ni mwanasimba damu damu tena team Mugalu.
Tutolee unafiki wee shost wa Da Joy. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha dharau
Kwendaaa huko.Huu UZI kwa watu kama nyie
Huyu ni shabiki wa Utopoloo, yupo hapa kutupiga madongo, achana nae.Yaan huyu mjinga unaemtetea hapa kama ungeona kosa alilofanya ktk mechi na Orlando hakika huyu nguchiro hastahiki tena kucheza Simba
Asante sana mkuu.Tuungane kusema mazuri yake ambayo yanafichwa na wabaya wetu (YANGA)Mimi mwenyewe nawashangaa sana
The animal bull striker huyu ni moja ya wachezaji ambao dunia inasimama anapocheza pale kwetu bunju.
Lakini hili mashabiki wenzangu wa simba hili hawalioni..
Hata kocha Pitso juzi alisema anatamani sana kufanya kazi na mugalu shida bei yake ni kubwa kuliko hata mshahara wa Messi pale psg..
mpira sio kama mapenzi yanayochezwa gizani.soka ni hadharani. Mbona fans hawahataka Sakho au Inonga aondoke?Ww ndo unawalipa mshahara?Unaweza kumlipa mtu mihela kibao ukiwa huoni umhimu wake?Unajua mpira (Ufundi)kuliko jopo la makocha wa Simba?Kaa kwa kutulia Mugalu ni bonge la striker
Halafu sijui anafanyaga kusudi mechi n mechi? Kuna mudq yupo na keeper ila anabutua nje au utopolo yanalogaga??Mie nikimuona Mugalu napatwa na hasiraa, hata kumsikia sitaki kabisaaaa., ananikeraaa hadi bas. Aaaah
Hujui kuna kipindi (kifupi)kila mchezaji lazima ashuke kiwango?Kipindi hicho klabu ikisema isisitishe mikataba yao itasitisha mingapi?Hela atalipa nani?Hao akina Inonga msimu mzma wamekuwa na viwango bora?mpira sio kama mapenzi yanayochezwa gizani.soka ni hadharani. Mbona fans hawahataka Sakho au Inonga aondoke?
msimu mzima unasema kipindi kifupi,unaumwa wewe. mara ngapi Sakho na Banda hawakuwa vizuri kwa hicho kipindi kifupi. Kuna mwenye shida nao? ni kwa sababu walishuka kipindi na sio msimu mzimaHujui kuna kipindi (kifupi)kila mchezaji lazima ashuke kiwango?Kipindi hicho klabu ikisema isisitishe mikataba yao itasitisha mingapi?Hela atalipa nani?Hao akina Inonga msimu mzma wamekuwa na viwango bora?
Tufikiri vizuri jamani
Ninachokuhakikishia tu ni kwamba ipo siku utamuelewa MUGALU na haendi popote.msimu mzima unasema kipindi kifupi,unaumwa wewe. mara ngapi Sakho na Banda hawakuwa vizuri kwa hicho kipindi kifupi. Kuna mwenye shida nao? ni kwa sababu walishuka kipindi na sio msimu mzima