Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Wewe pia punguza kamdomo,dunia ngumu hii, na mwaka huu ccm inaondoka kisa ka mdomo kenu, huwe unasikilizia kwanza wana wa Mungu kama mie wanasema nini? ,

Kamdomo, kamdomo ,kamdomo ,punguza
Sasa mimi na ccm nahusikaje?
Hiyo ya kusikiliza iko wapi?
 
Mkuu tuliza adrenal glands zako, hata chadema na ccm zisambaratike sasahivi na kubaki majivu kitaibuka chama cha Tanzania ya watanzania wote, na tutasonga mbele kikubwa amani na umona wa Taifa. Usiweke tumaini lako kwenye vyama.
Mtajutia uamuzi wenu huo wa Mihemuko.
 
Wacha propaganda za kisenge wewe mtoto, Mbowe alikuwa hana issue tena CHADEMA, alishindwa urais na alikuwa hana muelekeo wowote wa kukiendeleza chama zaidi ya kucheza makida makida tu na CCM. Apotee tu, tushamchoka.
 
Kanye ulale maana mchango wowote kwenye uso wa dunia.
 
Maumivu kama haya yanatulizwa na sumu ya panya tu au bunduki kichwani baaaaaasi!
 
Maneno ya watu wa hovyo ambao wanachukulia uchafuzi wa 2024 kuwa ni kigezo cha kujenga hoja za hovyo, CCM mmoja mwenye hekima Jaji Warioba aliyekemea ukiukwaji huu wa sheria na taratibu za uchaguzi
Ukishazoea kula nyama ya mtu hauwezi kuacha ,hii imeonekana kwa mnyama simba ,akishakula mtu inabidi atafutwe na rangers auawe maana ukimuacha anaweza kumaliza kijiji ,SISIEMU washaonja utamu wa UCHAFUZI ,kupita bila kupingwa hivyo hata 2025 watatumia mbinu hiyo hiyo ya kuwaengua wapinzani na hakuna cha kufanya.

Hata Polepole alimuakikishia Zitto kwamba 2020 harudi Bungeni iwe jua au mvua.
 
Gentleman pole sana ndugu yako penis-we kanyang'anywa tonge mdomoni gentleman
kumbe kulikua na kulabugia matonge huko gentleman?

ehee ilikuaje akanyang'anywa tonge mdomoni? au aliambatanisha nyama kisela kwenye tonge masela wakamstukia?

hiyo haitakiwi kwenye kulumangia na kachumbari gentleman 🐒
 
We ni kiongozi wa jimbo gani mkuu?
ni miongoni mwa wa viongozi wa majimbo yanayofanya vizuri sana katika sekta za afya, maji na elimu humu nchini.

nipo kwenye record ya tatu bora ya wawakilishi wa wananchi wanafanya vizuri zaidi gentleman.

sijisifii but ndio ukweli huo 🐒
 
Mkuu tuliza adrenal glands zako, hata chadema na ccm zisambaratike sasahivi na kubaki majivu kitaibuka chama cha Tanzania ya watanzania wote, na tutasonga mbele kikubwa amani na umona wa Taifa. Usiweke tumaini lako kwenye vyama.
CCM haiwezi kusambaratika hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…