Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu


Nadhani una tatizo kichwani,tafuta namna ya kulimaliza
 
Mimi ni mkulima
Hicho chama chenu CCM ati ni cha Wakulima na Wafanyakazi kilikuwa ni zamani sasa hivi kimekuwa chama cha wala RUSHWA.

CHADEMA sio exclusive kwa vikundi fulani CHADEMA ni chama cha Watanzania WOTE.

CHADEMA kinanitambua mimi Imhotep kama Mfanyabiashara.
 
Mimi binafsi namchukia sana Lissu..
Wewe ndiye mwenye chuki kuu kifuani mwako, unakiri KUMCHUKIA SANA Lissu, yeye hakujui wala hakuchukii.

Jifunze kuheshimu maoni ya wengi.

Siyo wana CHADEMA tu, bali Watanzania wengi wanampenda Lissu kutokana na hizo sifa zake unazozichukia.

Maoni ya wengi ni maoni ya Mungu..
Achana na chuki, heshimu watu
 
Toka zako bana weee!!usingizi wakukesha kwenye Tv bado unakusumbua
 
Pole sana bwana mdogo Lucas. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wameongea kama vile ilivyotarajiwa na watu wengi wenye nia njema na kesho ya CDM.

Historia ya uongozi wa Mbowe imekwisha andikwa kwa wino wa dhahabu ndani na nje ya chama hiki.

History is the path left by the past. What you're experiencing now is the mere fear of unknowns. You wanted some, now come and take some.
 
Hivi binadamu timamu anawezaje kutofurahishwa na mtu sababu ya mdomo wa mtu!!??

Wewe si una mdomo wako!!??
 
si sawa hata kidogo kudhihaki viongozi wa wananchi my friends, ladies and gentlemen 🐒
Wamekupa uongozi wa jimbo la hovyo na mzee mwenzio wa hovyo kapewa ulaji wa umakamu mwenyekiti, chama cha hovyo kinawapa teuzi wazee wa hovyo waliochoka akili zao za hovyo. Tutegemee nini sasa?
 
Ili mradi usipange kumuua tena. Mbona chuki yako haijifichi.
 
 
Umeandika ujinga mpaka nimeshindwa kumalizia HUNA AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…