Unamaanisha nini?wewe unakumbuka umeshapiga wangapi umri huo?
Itakoma tu...zambi ya uzinzi haitakoma katika dunia hii
Kasema kuwa alimwaga kwenye mapaja, sasa hapo kinga inatoka wapi? Mbona hauko attentive to details?
Huyu jamaa hakutumia si unaona kaandika hapo kamchafua asee, yupo raf sana huyu alitaka akifill kinyama live, hahahaah
Mtumishi kinga wapi tena wakati ameshatanguliza E alikua safe? Sie watu wazima tukajua tu hapo hakuna kinga
Utamu.kweli watu hatutaki kula ndizi na maganda kabisa...magonjwa, unplanned pregnancies..lakini badoooooo!
uliolala nao unawajua idadi?Unamaanisha nini?
Niliolala nao akina nani? Mbona huwa nalala peke yangu?uliolala nao unawajua idadi?
usituzingue ujue!
unagongwa na fisimajiNiliolala nao akina nani? Mbona huwa nalala peke yangu?
Nawazingua wewe na nani?