Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Murudie Muumba kabla siku zako mbaya hazijafika kamwe hutapata furaha ya kweli huko jua siku zote hakuna furaha ya kweli kama roho Wa BWANA ujampatia nafasi tubu kwa kumaanisha usitende dhambi tena
 
Huyu jamaa hakutumia si unaona kaandika hapo kamchafua asee, yupo raf sana huyu alitaka akifill kinyama live, hahahaah


kweli watu hatutaki kula ndizi na maganda kabisa...magonjwa, unplanned pregnancies..lakini badoooooo!
 
kweli watu hatutaki kula ndizi na maganda kabisa...magonjwa, unplanned pregnancies..lakini badoooooo!
Utamu.
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
nakuhurumia as if kaka yangu wa damu, hapo umeteleza na atakuja kukusumbua balaa, kitu atakachoanza nacho kukurudisha ulingoni atakuambia ana mimba yako hilo jiandae, umetungiwa story ambayo haiingii akilini kabisa na huyo E pole sana. mume wa mtu unakuwa na urafiki na mwanamke? umekuja kuomba ushauri wakati ni too late. shetani kafanikiwa matokeo yanakuja jiandae
 
Ni mbaya sana kuwa na mahusiano na mtu wa ofisi moja,mkitofautiana ktk mambo ya mahusiano kazi haziendi kabisaaaa!!
Ni hatari kwa ustawi wa majukumu yako!!!
 
Ikiwa umedhamiria kweli kutokurudia kumsaliti mke wako tubu kwanza kwa mungu wako na kisha muambie ukweli mke wako ...... Muambie ukionyesha umejutia hii itakusaidia sana trust me ingawa kwa upande wake itamuumiza.....
 
Mkuu unakipaji kingine kama cha Shigongo ujagundua...tu....ebu geukia huo upande utapata mashabiki wengi sana..nimesoma stori nimetamani usifikie tamati...
 
Aiseee kuna wanaume wana mioyo mizuri mno Aiseee daaah.

Mbona sisi wengine hatupati hizo bahati?Yaani bint mzuri mzuri kama E ajilete alafu nitake kujitoa thubutu ningekula mzigo tena kimya kimya.

Ushauri wangu kwako mapenzi hayataki Ushauri fata moyo wako unavyotaka na naomba unitumie hiyo namba ya E.
 
Back
Top Bottom