Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

kama unampenda mkeo naimani utamsimulia mkasa huu pia ili na yeye akupe likizo ya kulala chumbani kidogo! wanaume wengine bana unamsaliti mkeo makusudi kabisa alafu unakuja kusimulia bila aibu!!!!!!!! baada ya miez 3 kapime afya yako baba E
I am sorry cheupe dawa
 
Ahahah usitumie nafasi yako kumuumiza mwingine kwa makosa yako (maamuzi yako mabovu).

Nakumbuka ulimwambia E, "sijui", alipokuuliza kama unampenda mkeo.

Inabidi ujipe wewe uhamisho...
Ndio maana nakupenda.
 
mkuu siku ingine tumia kinga ... duh mpotezeee kama hakuna kichotokea
 
mkuu nitumie no yake ili uendelee kuilinda ndoa yako na usijemchafua tena
 
Mkuu i love my wife, hapa nilipo naona hata aibu kumsogelea.
E kaniahidi sana kuitunza heshima yangu, ikiwa shida itabidi ahame idara japokuwa na nafasi yake ichukuliwe na mtu wa idara nyingine, hili linawezekana.
Kati ya vitu ambavyo huwa sivielewi Ni hiyo inayosemwa Heshima....

Anaitunzaje hiyo heshima yako?
Ni heshima ipi?
 
Duuuh
haka ka story katam balaa yaan nilikua nataman usimalize mkuu.
Ushaur wangu kwako mkuu, cc wanawake tunapenda vibaya na sio kila unapo kwaluzana na mkeo mnagawana vyumba hiyo ni mbaya sna aiseee tena usirudie tena, haiwezekan wanandoa mnao pendana mkapeana likizo almost 3week. Yaan mmegombana sanasana labda ununiane msipigiane cm msile pamoja, lakini usiku mida ya kulala hapo ndo mida ya kupatana tena kama ni mm nawah kulala atanikuta nimelala uchi namsubilli haya kama kidume kweli anune asinikumbatie....

Kitendo cha kupeana vyumba mwamkalibisha shetan awatawale, we unazan mkuu ungekua uko poa na wife yangekukuta hayo, unaanzaje kumsalit mkeo wakat unachotaka anakupa.
Kwaiyo wanandoa tujifunze kwa guys ndugu yetu, amejipa stress zisizo na kichwa wala miguu tena huyo dada anaonekana hata mapz hajui kidume unatoka hata jasho huna.
Yaan nakuomba huyo E muonyeshe uso wa mbuzi asikuzoee naww usijiachie kupiga nae tena story za malav dav atakunasa tena. Mkeo akija kujua unamsaliti atakosa uaminifu na ww tena. Mpende mke wa ujana wako uliyepewa na Mungu
 
Hizi ndoa zinaogopesha walahi... Nawaza sana mmmh.... Breaking marriage game is too strong. Mola tusaidie wanao
 
Lakini pia mjifunze kusameheana hata kama mmoja hataki kuomba msamaha.

mchukuliane ili life lisonge...la sivyo hivi vitu vidogo vya kutaka kuombwa msamaha kuna gharimu ndoa sana
This is soo true... Learn to let go... Hii pia hata kwa watu wengine... Mtu asipokuomba msamaha ya nini kuweka kinyongo? Love should be on top of all... Tena kwa watu wazima ipo tu Siku atarealize makosa yake na kujishusha... We should learn how to let go and find peace within our hearts and with our loved ones... Kunywa soda kwa Mangi ntalipa[emoji41]
 
Point hii... Safi
 
kwanza kabisa elewa mkeo anagongwa,,,, seriously... na wewe umekamilisha urijali wako kwa kumgonga staff mate wako...hongera sana,,,, unahitaji ukakamavu mkuu,,, E ana mlo mtamu ajabu (nimekunukuu),,, jichunguze kuna wimbo unaoupenda na huwa unajirudia akilini mwako na kuuimba bila kujijua...!!!!! uko tayari ukimuona E anagongwa na staff mwenzako hapo ofcn?? wanawake ni viumbe hatari sana......jiandae kukabiliana na yote....elewa bi mkubwa nae keshakustukia.....anakulia timing.......kuwa makini sana.
 
Hapana aisee...sijaolewa ila ex bf akinifuata aisee namtolea nje mazima. I respect what I have
Unaolewa lini?!...if ur current bf mmekuwa pa1 for that long kwann asiweke mambo ndani kbs
 
Dear Mkuu uliepost story yako.
Kosa lishatendeka. You need to man up and save your marriage. If you are believer go and ask God for forgiveness. Do everything you can to stay away from that woman... Take other great advices from pipo here.... Best of luck in saving your marriage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…