Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Unaolewa lini?!...if ur current bf mmekuwa pa1 for that long kwann asiweke mambo ndani kbs
Hahaaaa.... Si mpaka aamue jamani... Can't force him to propose.. Pia hatuna muda mrefu sana kwenye mahusiano
 
Niliposoma tu na kufika hapa nikaamua nisisome tena:

" na she told me yuko safe kuanzia wakati ule kwasababu alikuwa amemaliza mzunguko siku si nyingi, nikamwambia let do it tomorrow!

That means umelala naye bila kinga? huu ujinga sijui unatoka wapi kwa watu wazima.

[emoji38] [emoji38] [emoji38] umeua
 
Hahaaaa.... Si mpaka aamue jamani... Can't force him to propose.. Pia hatuna muda mrefu sana kwenye mahusiano
Sasa hivi ukijifanya unasubiri for him to propose utazeeka u av to knw his plan akikwambia baada ya miaka miwili unasubiri ikifika ukaona hamna kitu kimbia..mwanaume akifikisha miaka 28 n hana mpango wa kuoa mwogope
 
wewe sio wa kwanza kuchepuka be a man with msimamo baasi hilo ndo litakuweka huru

chinekeeee
 
Hahahahahahah Mkuu aliamua kuloweka! Hakuna jinsi maji ya mesha mwagia
 
Sasa hivi ukijifanya unasubiri for him to propose utazeeka u av to knw his plan akikwambia baada ya miaka miwili unasubiri ikifika ukaona hamna kitu kimbia..mwanaume akifikisha miaka 28 n hana mpango wa kuoa mwogope
Hahaaaa eti eee... Ila pia Mimi bado sijajiridhisha.... Bado tunasomana kwanza... Niko desperate so najipa nafasi zaidi ktk kufanya maamuzi sahii mkuu
 
Mwambie mkeo usaliti ulioufanya na kumwomba msamaha, mwombe msamaha E na katubu dhambi zako mbele za Mungu.
Roho yako itakuwa safiii. Kuna gharama kwa kila tunachokifanya.
 
Hahaaaa eti eee... Ila pia Mimi bado sijajiridhisha.... Bado tunasomana kwanza... Niko desperate so najipa nafasi zaidi ktk kufanya maamuzi sahii mkuu
Kusomana gani wakat tunda mmekula zaidi ya mara 50
 
Binge la storiii, uko vizuri mkuu. Upande ulichofanya ni upepo tu yatapita. Big up.
 
Mr Rabboni
Kwanza nikupe pole sana kwa uamuzi ulioambua kuuchukua ukiwa kama Mume na Msingi wa familia, nimesikitikika sana umekuwa mdhaifu na kuamua kuisaliti ndoa yako na mkeo, na pia kujionyesha uchi wako mbele ya mwanamke asiyestahili kuuona,

Nakushauri nikiwa nimeoa na imani yangu Mkristo, ndoa yangu ina 10 yrs, nilikuwa na uelewa mdogo tu kama wewe, na ilikuwa mechi za mchangani zikitokea napiga bila shida
Naomba nikushauri kwani niliyekuwa nimepotea kama wewe na sasa nimeyajua makosa yangu na nimetubu mbele za mola Wangu na nimebadili mwenendo wa maisha yangu for Good.

Nilikiwa na mechi mchangani driving force ilikuwa inatoka kwa wife kwani yake alikuwa akiifungia na nikikutana na "E" ananifungulia. Hamu na Wife ilikuwa imepungua sana. Ilikuwa ni big mistakes nilikuwa nafanya. na hii ni kutokana na kiburi na ubinafsi wetu wanaume

Kitu ambacho sikukijua ni kwamba pale ambapo problem inatokea wanandoa mkae muongee kwa pamoja na mkubaliane kutokukubaliana, Siku moja nikakaa nae kwa upole sana nikamwambia problems zake na yeye akanieleza problems zangu siku hiyo tuliongea almost usiku kucha, na hapo tayari tuna 3 kids nikaja kupata ufahamu. Since that day namuona mke wangu ni watofauti sana na kila siku inavyozidi kwenda nazidi kumpenda. Nikaagana na mwili wangu na mindset yangu mambo ya mechi za mchangani sasa basi. we now enjoying each other kwa speed 120kh

Naomba unisikilize Mr Rabbon na wana JF wenye tatizo kama lako. Please note hautaweza badili tabia ya mwenzako kwa kutoka nje, utaleta maradhi na madhambi mengi sana kwenye familia yako. ukikusoma bibilia angalia reference zilizoko kuanzia Mwanzo mpaka Malaki utakugungua kwamba pale usaliti unapotokea katika ndoa anayeadhibiwa na Mungu ni mwanamme sio mwanamke mfano Daudi..do the home work utashangaa na kustaajabu..

Unachotakiwa kufanya ni kutubu kwa Mola wako na kwake E" kwa kumchafua na kumuweka kwenye hukumu ya Mungu, Pili ukaombe radhi kwa Mkeo kwa ulichokifaanya na uahidiane na nafsi yako kwamba hutorudia tena.
Tatu usiogope kuongea na mkeo kuhusu mienendo wenu kimapenzi (sex appetites) Mtume Paulo katika wakorintho anasema Mume ni mali ya Mke na Mke ni mali ya Mume nini maana yake? kile unachofurahia kimapenzi mkeo ndio wakukufanyia and otherwise. ukigundua siri hiyo utamfurahia ndoa yako sana..

Nakutakia amani ya Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…