Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Tujifunze kuwakimbia wanawake na kulinda ndoa zetu maana mwisho wa siku ni kujipa stress. ahsane ndugu kwa story yako inatufundisha mengi. ushauri ni kufanya mpango E ahame ofisi maana mkiendelea kukaa pamoja haya mambo yatajirudia maana ataanza kukukalia vibaya na utaendelea kumtamani na kwa vile umeshanvua chupi itakuwa vigumu kushinda. pili nenda kwa Mungu na kutubu akupe uwezo wa kushinda maana majaribu ya wanawake ni magumu sana kushinda bila uwezo wa Mungu.
 
Nimependa kingereza chako.. sio cha kuunga unga..

Nikuje unifundishe na mimi mara moja moja?
 
Wanaume hatutakagi ujinga
 
Ni kweli mkuu nimekutana na mengi lakini sio kumsaliti mke wangu kwa mechi za nje, ukiwa busy sana kiofisi na kuwa serious serious kuna madhara pia.
 
pole mkuu,E kakuweka kwenye imaya na usipoangalia atakuharibia kabisa,act like a man kuwa sserious hapo ofisini ingawa E atakusumbua sana lengo lake toka mwanzo ni kukumiliki wewe si ajabu badae akaja kuvunja ndoa yako kabisa
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…