Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

You can't save your marriage when you're more concerned about not doing E right, than doing your marriage/wife wrong. The way I see it, soon you're gonna wanna make it up to E, and your ego, and you'll be caught up real deep.
 
Duuu mie napita macho hayaoni vizuri [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Impossible mkuu, kabla ya mwaka mpya alikuwa mwezini! hili nililijua hata kabla yakukutana naye! kwenye stori stori

Inashangaza sana. Kimaadili mpaka inapofikia rafiki(wa kawaida) wa kiume. Anafahamu mzunguko wa rafiki yake(wa kike) ujue tayari ulikua unapalilia uwanja.

Yaani kwa maneno mengine ndugu yangu umetongozwa. Na huyo mwanamke alijua nini cha kufanya toka mwanzo ili akumiliki.

Kuwa makini tu ndugu yangu. Na usifikiri huo uhusiano wenu na E utaisha "without a Bang".....lazima ujipange.
Men cheat but atleast you need to be in control of the game
 
mi mwenyewe nakuomba unisaidie kaka...Coz hapa sijiwez kwa ulivoninyegelesha.....Oo God! kwa kuhama huku....Mnhu!

Si ungekuja kwangu bado sijaoa, BTW ulipata maana nilikwambia unipm, em fanya hivo sasa
 
Kweli ulikosa usingizi maana ka-stori karefu ila kanavutia kusoma..

Mzee hapo umetengenezwa na uyo E ila be a man..

Sina ushauri as sijui mmekosana nini na waifu wako na pia sijui imani yako juu ya Mungu ikoje unless otherwise hapo ni kwenda kutubu mbele za Mungu wako na kumaliza tofauti zenu wewe na waifu

Relax
 
Hongera bwana d kwa kumchafua e ila usiumie bwana z akimchafua wife wako
Hahahahhahahwh ***** bwana D kamchafua bibi E asije kukasirika tu bwana Z akimchafua mke wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli ulikosa usingizi maana ka-stori karefu ila kanavutia kusoma..

Mzee hapo umetengenezwa na uyo E ila be a man..

Sina ushauri as sijui mmekosana nini na waifu wako na pia sijui imani yako juu ya Mungu ikoje unless otherwise hapo ni kwenda kutubu mbele za Mungu wako na kumaliza tofauti zenu wewe na waifu

Relax
ni kazi kweli kweli. sio mchezo!!
 
kama unampenda mkeo naimani utamsimulia mkasa huu pia ili na yeye akupe likizo ya kulala chumbani kidogo! wanaume wengine bana unamsaliti mkeo makusudi kabisa alafu unakuja kusimulia bila aibu!!!!!!!! baada ya miez 3 kapime afya yako baba E
 
Back
Top Bottom