mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
sikumbuki ila nina uhakika 😅Bld mwanangu wapi nimetukana mkuu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikumbuki ila nina uhakika 😅Bld mwanangu wapi nimetukana mkuu???
Poa ngoja niwe mstaarabusikumbuki ila nina uhakika 😅
😱😱😱 acha kunitisha mkuu! Unasema kweli😱😱😱Wadau wengi walioandika nyuzi za namna hii hawakutoboa sijui kwa nini
😂😂😂😂 unazingua😂😂😂😂Nimekula kichwa kichwa almanusura niandike araaipiii
Pole sana brother! Hali ya hewa kipindi hiki si rafiki kwa wengi. Hasa kwa Dar es Salaam!View attachment 2633655
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni mapema..
Ahsante..
Kweli ni changamoto sana!Pole sana brother! Hali ya hewa kipindi hiki si rafiki kwa wengi. Hasa kwa Dar es Salaam!
Ungepunguza brother.!Wameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...
To be honest not forever nilipata dawa za hospital nikapiga nusu dozi ni kawa sawa,Was it recovered forever?
Kumbe maradhi ya kujitakiaWameniambia vidonda vya tumbo, Vimesababishwa na pombe kali...
Sawa nitafanya hivyo!Ungepunguza brother.!
Hospitali kuna tisha sana nimehitaji kampani kidogo initoe upweke...Pole mkuu ila ungepumzika kwanza badala ya kupost JF.
Nashauri;; maombi yetu yasitolewe kizembe km mgonjwa anavyohitaji!! Angalia ujauzito mkuu!!
Asante [emoji15][emoji15]
hahaha coca hakosi ngoma kwa sababu hana utelezi[emoji3] jamaa acheki ngoma kabisa
Shida kuiacha inachukua mdaa sana na inatakia kuchukua maamuzi magumu sana!Kumbe maradhi ya kujitakia
Tukiwaambia msinywe Pombe mnatuona washamba haya ona sasa pombe ilichofanya