round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi )
2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF)
Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ?
3. Nimenunua waya wa ethernet wa kuhamishia mafaili shilingi elfu saba ( maduka mengi wanauza nyaya za kuhamisha MB 10 kwa sekunde, nimekuwa makini kununua wa kuhamisha MB 100 kwa sekunde)
4. Mouse na keyboard ninavyo
SETUP
Kwa kuwa PC ni ya zamani, nimeweka "Tiny 10", ni toleo jepesi la Windows 10. Itanifaa kwa kazi ya kutunza na kuhamisha mafaili, kazi nyingine zikifanyika kwenye laptop na simu.
Hard Disc ya GB 80 ni kwajili ya window, Hard disk ya 6 TB ya kutunzia mafaili
Nimetengeneza Network ya kuhamisha mafaili (file sharing) baina ya Pc niliyonunua na laptop yangu kwa kutumia waya wa ethernet, waya una speed nzuri naweza kuhamisha MB 100 kwa sekunde

- Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za SATA ina kasi zaidi kuliko kutumia USB cable.
- Hard disk iliyounganishwa ndani kwenye motherboard ina utulivu dhidi ya mitikisiko na vumbi
- Hard disk iliyounganishwa ndani inapata hewa na kupunguzwa joto kwa feni
- Hard disk ya ndani haiwezi kung’olewa kwa urahisi kama diski ya nje
- Hard disk ya ndani hupata umeme wa kutosha kutoka kwenye power supply ni tofauti na usb
- Hard disk ukiweka ndani ya cpu inakaa muda mrefu zaidi