Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Wanajua ni maigizo,ndio entertainment wanapenda.
Mimi pia najua ni maigizo ila napenda sana mieleka, napenda zile style hasa za sarakasi kwenye wrestling. Style kama za Usos, Mysterio, Ricochet, Aleister Black. Inshort napenda wrestling ile yenye techniques na mbinu za kisasa sipendi ile old school ya maguvu, viti na fimbo.
Miaka ya nyuma mzee alikua ananunua casette za mieleka nikiwa mdogo ila nilikua siipendi, nilianza kuipenda nilivyokua primary enzi ya kina Edge na General manager yule mwenye shida ya shingo. Kuanzia hapo nikawa mdau wa WWE ya kisasa.
 
Back
Top Bottom