Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Jamani, mbona ni LIVE
Yale ni scripted na ndo maana nadhani wanakwambia dont try it anywhere. Sasa usipojaribu popote hao wanao yacheza wa baadae watapatikana vp. Sijaangalia wwe toka inaonyeshwa kwenye channel flan ya South Africa enzi hizo iko kwenye cable za Barmedas
 
Boxing ya akina Tyson au Mohamed Ali? WWE ndio maigizo. Boxing na UFC zile ni real fights
Channel namba ngapi niwe najifunza za kule😂😂nisije nikampiga mtoto wa mtu zile style za WWE Nikaua bure.
 
Vipi boxing?
Boxing si hua unaiona hata olympic na game zake zinatangazwa. Ulishawahi kusikia popote whether Bbc sports, sky sports, espn au kwingine wanatangaza mwezi flani kutakuwa na pambano la Undertaker vs Rand Orton? Mchezo gani mtu anaweza kuwa kapigwa ame devela kawa mlenda ila ghafla tu unashanga ndo kashinda. Mara mtu apigwe kiti au ngazi, mara refa au wale analyst wa pale pembeni wapigwe halafu aliewapiga haadhibiwi. Wwe ina vitu flani ukivifuatilia kwa kutuliza kichwa unaona ni maigizo
 
Hamna kitu pale mkuu

Hizo MBC 2 na Max breaks za matangazo kibao, sometimes unasahau kama unachek move au matangazo!
Nimetumia azam toka inaanza 2013 nikiwa na mategemeo kwamba siku moja itakuwa na promising future tuliyo ikosa startimes lakini dah waliendelea kutuwekea mbc kwa sisi wapenzi wa movies was a big joke, nika wabwaga miaka 3 iliyopita baada ya kupata taarifa dstv wana ile movie bundle, najiunga cha 24,000 kisha nna add on movie bundle ya 16,000 channel 3 zile unapata hadi latest movie za same year, kiukweli sie watu wa movies na documentary wacha tubaki baki huku kwa mkaburu, huyo mwarabu wa ku edit kila movies mwache abaki na wapemba wake, kwanza maudhui yote yamekaa ki dini dini tena upande upande, mkaburu hana udini yeye ni burudani tu
 
Boxing si hua unaiona hata olympic na game zake zinatangazwa. Ulishawahi kusikia popote whether Bbc sports, sky sports, espn au kwingine wanatangaza mwezi flani kutakuwa na pambano la Undertaker vs Rand Orton? Mchezo gani mtu anaweza kuwa kapigwa ame devela kawa mlenda ila ghafla tu unashanga ndo kashinda. Mara mtu apigwe kiti au ngazi, mara refa au wale analyst wa pale pembeni wapigwe halafu aliewapiga haadhibiwi. Wwe ina vitu flani ukivifuatilia kwa kutuliza kichwa unaona ni maigizo
Kweli mtu anapigwa anadevela haswa kumbe eti ndio anakusanya nguvu. Akiamka hapo na nguvu kibao.
 
Mzungu sio mjinga akajae kwenye zile arena ndugu, sema ni mchezo wenye formula, igizo gani watu wanapasuana vile
Screenshot_20240118-201721~3.png
 
Back
Top Bottom