Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwa kuanzia ni nzuri anaweza kubadilisha kulingana na uhitaji kuna hadi sh.10,000/60000 so mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuanzia ni nzuri anaweza kubadilisha kulingana na uhitaji kuna hadi sh.10,000/60000 so mchezo
Elf 10,000/Dah kifurushi cha bei rahisi kabisa ni sh.ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3]60000 kwa mwezi?like really?embu ongeeni na watu vzr bhana...60k ni hela ya kifurush cha miez 6 na chenji inarud
Ukiona hivyo yeye hajawahi kutumia ni wivu tu au ndiyo wale wakutizama local channelWabongo bana,sa yenye kitu ipi,mana wengine Azam hamna kitu
wewe lipia tuMi huwa naona bora ulipie internet tu, YouTube kuna kila kitu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo utaaangalie Youtube na watoto? Na wife? Na dada wa kazi?
Acha ubinafsi mkuu
Kipo mpaka elf 10 ,ila sijui ni channel zipi ukipata kipeperushi chao ndiyo utajua ni zipi24000
Duu na wewe umo kwenye WWE [emoji23][emoji23][emoji23]Kane hayupo , Sting alienda AEW hayupo WWE
Ronda kuna movie nimiemuona huko, sijui ndiyo anakimbia, Roman nampenda ila sijui hatumiagi akili huwa anakosea mwishoni huwa ananikera hapo.tu.Ewaaaaah sema Ronda siku hizi sijui kaenda wapi ila namkubali. Roman simpendi hapa nasubiri tu anyang’anywe mkanda
Huwa wanaondokaga na kurudi ngoja tuone kama atarudi.Ronda kuna movie nimiemuona huko, siju ndiyo anakimbia, Roman nampenda ila sijui hatumiagi akili huwa anakosea mwishoni huwa ananikera hapo.tu.
Ok msalimie shemeji akoSalamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Action movies 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Hasa 112 ninoumaIngia channel namba 112,113 na 137 uendelee Kula movie mwanzo mwisho...
Kama ni MTU wa magari ingia channel namba 136 ufurahi
🙄🙄🙄🔕Jana niliona watu wanangonoka kabisa,wadhungu bana
Unajua kama yale (WWE na wenzie) ni maigizo?Huwa wanaondokaga na kurudi ngoja tuone kama atarudi.
Roman uhuni mwingi sana siku hizi ila mwanzo alikuwa vizuri
Hannah wataka kusemaje apa🤣Huwa wanaondokaga na kurudi ngoja tuone kama atarudi.
Roman uhuni mwingi sana siku hizi ila mwanzo alikuwa vizuri
si elf24 tudstv wanaonesha afcon channel number 222 live clean...sema kabei ndo kamechangamkaaa haswaaa
Hebu sema kweli? Tufungulie codes bas60000 kwa mwezi?like really?embu ongeeni na watu vzr bhana...60k ni hela ya kifurush cha miez 6 na chenji inarud