Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.

Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Uliamua umalize kila kitu. Hongera
Screenshot_20240118-204816~2.png
 
Mi hata azam sioni cha kuangalia,napenda movies sasa hamna la maana kule ,mbc ,kix sijui na nn ile aaaha zote hakuna la maaana[emoji1][emoji1]
 
Kwa miezi miwili Sasa nakubali kwamba Dstv wapo juu,Picha HD japo wana bei juu lakini unafurahia huduma.Changamoto content nyingi ni za kidhungu,kama Englisha haipandi kina channel hutafaidi kama hizi M net Movies
 
Nihamie na virago vyangu
 
Kwa miezi miwili Sasa nakubali kwamba Dstv wapo juu,Picha HD japo wana bei juu lakini unafurahia huduma.Changamoto content nyingi ni za kidhungu,kama Englisha haipandi kina channel hutafaidi kama hizi M net Movies
Star life ipo kwenye package ya bei gani?

Ni miezi sita toka nisitishe kulipia king'amuzi chao
 
Wamefanyaje tena?[emoji28]
😄😄😄Kila siku wanatuhamisha vifurushi na baadhi ya chanel kutoa kabisa sasa bira niuze tu kwa mwenye uhitaji nacho nikile cha zamani wengi mnasema cha silver (gray) antenna bei ni sawa na bule 20K😎
 
Wabongo bana,sa yenye kitu ipi,mana wengine Azam hamna kitu
Ni kweli kibongo bongo dstv ipo juu,hakuna wa kumfikia lakini haitoi ukweli kwamba tunalipa zaidi kuliko tunachopata….Huko duniani kuna channel nyingi sana zenye content za ukweli,movies za maana lkn wao dstv wame jaza channel kama Kix,fashion nk …ukitoa supersport dstv has nothing to offer.

Hata hiyo supersports michezo mengi haonyeshi kama ilivyokua zamani mfano boxing ni mapambano machache tu anayo yaonyesha!
Ukisha izoea ndio utajua hamna kitu.
 
Back
Top Bottom